jane kajoka
Member
- Sep 19, 2015
- 91
- 3
Duuuuh ...msaada kwanii ww umefanikiwa kufungua cz kwangu haifungukiiii plz
Joining kwa vyuo vya serikali bofya link hii
41.93.31.135:8080/JI/
Fungua link hii then hapo walipoandika joining.........
MATOKEO YA AWALI KWA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA VYUO VYA AFYA - NACTE
Ndiyoo nimefungua apoo ina gomaa...afu hataa badhii ya watu nimewauliza wanadai haifungukii...vp ww kwako inafungukaa still now....plz naomba msaada wakoo...!
Plz.....afu fanyaa kutupa intro i mean wametoa joining instruction ya vyuo vyte vya serikalii au maelezooo plz naomba unisaidie.....cz yaanii tangu janaaa haifungukiiiii
Kwa Jana niliingia nikadounload joining instructions za Nursing certificate and Diploma. Hapo zipo joining za vyuo vyote vya serikali. Kwa Nursing joining zote zinafanana cz hazijabagua vyuo.
Aaaah asanteh cz namii nimechaguliwa diploma nursing Mtwara...ko tarhe ya kufngua ni trh9/11 na vipiiii ada yakeee...!samahani kwa usumbufuuu
link ya joining instructions kwa sasa inafunguka so kaaaz kwako!!!
Samahan wakuu, ivi sasaiv kunauwezekano wa kupata nafasi za cmnty hlth