Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Jamani Punguzeni Munkari Acheni Kutukanana Sisi Wote Ni Wamoja Ndugu Zanguni..Naomba Msameheane Na Tuendelea Na Ujenzi Wa Taifa Letu.

achana nae hajielewi atakuwa na mimba changa inamsumbua.
akalambe ndimu alale
 
Samah jaman nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu chuo cha afya cha kampala international university kilichopo gongo la mboto ada zake na ubora wake pia
 
Samah jaman nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu chuo cha afya cha kampala international university kilichopo gongo la mboto ada zake na ubora wake pia

hiki chuo hakikua na usajiri wa kozi za afya but kuna tetesi kwamba wamepata usajiri siku hz hz but me sikushauri uende pale kampala..tafuta chuo kingne then apply kwa direct entry
 
hiki chuo hakikua na usajiri wa kozi za afya but kuna tetesi kwamba wamepata usajiri siku hz hz but me sikushauri uende pale kampala..tafuta chuo kingne then apply kwa direct entry
Ostaz juma naomba nisaidie contacts za lindi clinical officer ( cot) ya icho chuo
 
Wale wote tunaolekea kuwa watumishi wa kada za afya tukutane hapa tujadili mambo muhimu kuhusu taaluma zetu za afya.
Ile thread yetu ya post za vyuo vya afya imefungiwa nikaona tuendelee kwa kujuzana taarifa muhimu kuhusu kada hii muhimu katika jamii.

ostadh naomba uni saidie kuhusu post za community health please
 
Jaman wadau kama kuna MTU kapangwa udom hatokwenda anataka kubadili nafasi diploma afya. Me nko tayari kuba dili naye me nilipangwa st Francis siendi.tuwasiane
 
Wale wote tunaolekea kuwa watumishi wa kada za afya tukutane hapa tujadili mambo muhimu kuhusu taaluma zetu za afya.
Ile thread yetu ya post za vyuo vya afya imefungiwa nikaona tuendelee kwa kujuzana taarifa muhimu kuhusu kada hii muhimu katika jamii.
Wadau yoyote mwenye contacts za clinical officers training centre LINDI naomba saana iwe namba zao za simu au hata email please guys
 
Jamani samahann,,kama kuna mtu kachaguliwa lindi cotc,,medicine diploma,,,anicheki 0713752419 na vp joining instuction tutatumiwa lini,na kwa njia gan cz had leo bado, na chuo chafungua 9 november,,,niite flova
 
Back
Top Bottom