Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

Ila hawatumii hekima kufanya kazi. Ngoja nikueleweshe kwanini nasema hivi. Siku hizi sifa za mtu anaenda chuo cha afya mfano Ni Sawa na yule anaekwenda kidato cha tano kwa kuwa wanahitaji uwe umefaulu PCB yote ambapo mtu huyu anaekwenda five. Sasa badala ya nacte kuisaidia serikali inayodai imeacha watu 24,000 hawana nafasi za form v, kuna Watu wameomba nacte na wamechaguliwa form v Ila wangependa waende vyuo vya afya na hatimae kuwaachia nafasi wale 24000 ,lkn kwa kuchelewa hivi wanalazimika kwenda wasiko kutaka na kuwazibia nafasi wale 24000 ambao baadhi hawana sifa za kujiunga na vyuo hivyo, Yaani hawana PCB.
 
Jamani hivi NACTE wanatutolea lini 🙁Selection maana mpaka sahizi kimya
 
Jaman kama mpo humu watu wa nacte tunaomba mtupe selection shule zitaanza kutuita bado hatujaitwa
 
Ni kweli jamani nacte tuone selection tunataka tujiandae mapema.
 
Ndugu wana jf hivi hili tatizo La profile binafsi kutofunguka baada ya nacte kufunga application ni kila mwaka au ni huu mwaka tu msaada please
 
Duuh inakela sana hii,nafikiri ni mwaka huu tu,subiri wazoefu wa NACTE waje.
 
tusiwe na wasiwasi ndugu hii nkwasababu ya huu usawa wasasahv kila kitu kinatakiwa kiwekwe kwa umakin ndio maana wanachelewa ila muda utafika wataweka ubaoni tuuu
 
Jombaa subiri mbona unapresha hivyo.
 
Kwanini una lialia? Kwani umeshindwa kuandika bila kutafuta huruma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…