Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

Sospiter acha uhun kuna watu wazima na akili zao humu utaumias
 
 
mi ninavyoona hawa nacte nao ni jipu tena lililoiva , lingekuwa sio jipu wangeeleza umma wa watanzania nn kinaendelea!!
 

Usiwe na haraka mmeambiwa ni baada ya mwezi mmoja,,watatoa majina ya waliochaguliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…