mwita burure
Senior Member
- Jul 8, 2016
- 192
- 39
Ukweli kabisa kk but hata mimi leo nimejaribu kufungua profile imefunguka lakini nimekuta system is currently closed now wait for selection tofauti kabisa na mwanzo lilivyokuwagaWakuu Sote Tumo Ndani Ya One Boat, Kwahiyo Musigombane Kwa Jambo Ambalo Lipo Nje Ya Uwezo Wenu!
Kwani Sote Hatujui!! "Henda Tatizo Likawa la NACTE, au Likawa La Walio Juu Ya NACTE! kwani Kulingana Na Visa Vya Nchi Hii, Wapo Walio na POWER kuliko Hata Hao NACTE"
Eeeeh Baba msamehe huyu kijana kwa maana hajui halitendalo...***** mshikawezi mwizi hahahaha jina tu kama mti wa dawa
Acha kupotosha umma kk it means kama hujui unakaa kimya who are you by the wayKesho jioni
Mimi ni mtu mkubwa sana hapo NACTE naomba uniheshimu tafadhari.Acha kupotosha umma kk it means kama hujui unakaa kimya who are you by the way
N vema busara itumike ukihisi kinacho ulizwa unakijua ila jibu sio sahihi it means huna uhakika kaa kimya kuliko kuropoka kitu ambacho hakipo..... ThanksMimi ni mtu mkubwa sana hapo NACTE naomba uniheshimu tafadhari.
Pow kk kesho sio mbali tutakusutaMe ni mtu mkubwa sana hapo NACTE naomba uniheshimu tafadhari.
Acha ubishi tafadhari.... Tena ukizidisha ubishi nitakata jina lako lisionekane hiyo kesho jioni.N vema busara itumike ukihisi kinacho ulizwa unakijua ila jibu sio sahihi it means huna uhakika kaa kimya kuliko kuropoka kitu ambacho hakipo..... Thanks
Hahaaaaa wabongo wana aka nyingi utamjua ni NaniAcha ubishi tafadhari.... Tena ukizidisha ubishi nitakata jina lako lisionekane hiyo kesho jioni.
You ar stupid man wenye nafas zao hawajikwez na kusema kama unavyoropoka ww usiejitambuaAcha ubishi tafadhari.... Tena ukizidisha ubishi nitakata jina lako lisionekane hiyo kesho jioni.
Dah.... Hadi nishaijua GPA yako ni below 3.5 nafikiri waraka wa TCU umeuona nakuomba hiyo jioni usijisumbue sawa mkuu.You ar stupid man wenye nafas zao hawajikwez na kusema kama unavyoropoka ww usiejitambua
Mbona week 4 zishapita?Hii imekaa Poa Sana tu!