Selection za chuo kwa first round zitachukua muda gani kutoka?

Hujakosea mkuu mwaka huu applicants n wachache ukilinganisha na mwaka jana.
Lakn pia tatzo lipo kwa tcu wangetoa mda maalum ambao utawawezesha wadau weng kua tayar juu ya jambo hilo.
Kulko hiv sasa kulvyokua na ukakas, nakubaliana na wewe juu ya kiachiwa baada ya wik chache lakn huyu wa baada ya cku tano ananipa was was.
Kwa mujibu wa tcu first round itatoka kabla ya sept 12 ili kuruhusu 2nd round kuanza tarehe hiyo.SIJUI UMENIELEWA! IZI CONCEPTS!
 
Haitafika week mbili mkuu kwa sababu tangazo limetoka kwamba wale watakaokosa round ya kwanza wataanza kuapply tarehe 12 mwezi wa nane source www.tcu.go.tz
ww hyo second round inapokuja kuna uwezekano wa nyie kutoona sehemu mliopangiwa bt unafahamishwa kuwa umechaguliwa alafu wakimaliza kudahili wa second round ndio wanatoa kwa pamoja kwa hesabu za haraka itakuwa zaidi ya wiki mbili
 
DENICE ADRIAN , kwa kawaida huchukua almost wiki mbili ama tatu kabla ya mhula wa kwanza wa vyuo vikuu kuanza. Tarajia katikati ya mwezi huu September utafahamu kama umechaguliwa kwenye round ya kwanza au la.

Baada ya round ya kwanza kufanyika na uchaguzi kumalizika, TCU hutuma selected students bodi ya mikopo ili ku-allocate fedha za ada, chakula na malazi. Wakati huohuo hutoa majina ya wanafunzi ambao hawakufanikiwa kuchaguliwa kwenye awamu ya kwanza kutokana na sababu mbalimbali na hivyo kuhitajika ku-apply tena.

Utakapoona TCU wametangaza majina ya wasiofanikiwa kuchaguliwa kwenye awamu ya kwanza, na jina lako halikutokea basi fahamu kwamba wewe umeshachaguliwa kwenye round ya kwanza na jina lako limetumwa bodi ya mikopo.

Aidha, kuna baadhi ya vyuo huweka majina ya wanafunzi waliochaguliwa katika vyuo vyao kwenye website zao kabla ya mchakato wa mikopo kufanyika japokuwa kwa kawaida selection zinapotangazwa hutoka moja kwa moja na loan status.
 
Back
Top Bottom