ndesamburo kwek
Senior Member
- Aug 1, 2011
- 136
- 21
Kwa anayefahamu pls anijulishe ni nini passes za combination za arts please.Je, mwenye C,D,D. KWENYE HGL anaweza pata form 5 ya serikali ingawa ana Div 4 points 26?
sali sana,upewe ushindi wa mezan......pole lakini..tatizo si mwalimuKwa anayefahamu pls anijulishe ni nini passes za combination za arts please.Je, mwenye C,D,D. KWENYE HGL anaweza pata form 5 ya serikali ingawa ana Div 4 points 26?
Kwa anayefahamu pls anijulishe ni nini passes za combination za arts please.Je, mwenye C,D,D. KWENYE HGL anaweza pata form 5 ya serikali ingawa ana Div 4 points 26?
sali sana,upewe ushindi wa mezan......pole lakini..tatizo si mwalimu
we sheko,me ndio mwalimu wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania,ka unabisha mulize JKshikamoo mwalimu kimetah
we sheko,me ndio mwalimu wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania,ka unabisha mulize JK
Kama una credit 3(C 3) utaenda Advance lakin private na sio govt, Kama hauna we rudia tu pepa lakin uwe makini maana kurisiti sio sawa na kuimba bongo fuleva.
mkuu mwaka jana selection watu kibao wamechukuliwa walikuwa na c mbili tu
mkuu mi nina uhakika na ninachokisema wanachukua ili mradi kombi yako uliochagua iwe na c mbili angalau na d moja hususani kwa watu wa sayansiNever on the earth mkuu, Mwaka huu baada ya matokeo serkali ilitaka kushusha sifa za kuchukua wanafunzi wa kwenda form5 sababu matokeo yalikuwa mabaya na kupelekea hata idadi ya watakaoenda advance wawe wachache sana, Lakin baada ya uchakataji serkal ikaghahiri kufanya uamuzi huo kwan tayar idadi imeongezeka.
mkuu mi nina uhakika na ninachokisema wanachukua ili mradi kombi yako uliochagua iwe na c mbili angalau na d moja hususani kwa watu wa sayansi
May be mkuu, Maana siku hizi mambo ya uchakataji yametamalaki kila kona ya elimu yetu.
May be mkuu, Maana siku hizi mambo ya uchakataji yametamalaki kila kona ya elimu yetu.
hata njewe si ndo mwalimu wangu wa darasani
Acha utani wewe,elimu haiwezi kuwa rahisi kiasi hicho,kwa maksi hizo za wacheza viduku na wanaoshindana kuonekana wasafi shuleni sahauni kabisa kuhusu A level,hata hivyo certificate sio mbaya!!Kwa anayefahamu pls anijulishe ni nini passes za combination za arts please.Je, mwenye C,D,D. KWENYE HGL anaweza pata form 5 ya serikali ingawa ana Div 4 points 26?