Selection ya form 5-2013 nini pass kwa combination za arts?

ndesamburo kwek

Senior Member
Aug 1, 2011
136
21
Kwa anayefahamu pls anijulishe ni nini passes za combination za arts please.Je, mwenye C,D,D. KWENYE HGL anaweza pata form 5 ya serikali ingawa ana Div 4 points 26?
 
sali sana,upewe ushindi wa mezan......pole lakini..tatizo si mwalimu
 
Kwa anayefahamu pls anijulishe ni nini passes za combination za arts please.Je, mwenye C,D,D. KWENYE HGL anaweza pata form 5 ya serikali ingawa ana Div 4 points 26?

Nisikudanganye, kiukweli hata private huwezi kupata, sababu ili kufanya pepa ya form six lazima uwe na credit tatu yan C tatu au kupanda juu, so nakushauri kama unataka kwenda A.level we riseat tu, au kama vipi nenda college tu.
 
Huchukuliwi na serikali wala private karudie mtihani 2 hapo,mi mwenyewe nilikua muanga kama ww ila nikarudia nashukuru MUNGU nimepata vigezo vyao,ila ukiamua kurudia unatakiwa kuwa so serious noma
 
Kama una credit 3(C 3) utaenda Advance lakin private na sio govt, Kama hauna we rudia tu pepa lakin uwe makini maana kurisiti sio sawa na kuimba bongo fuleva.
 
huo ndo mpango wa wanasiasa wa Tanzania as long as kuna goverment schools nyingi hope utachaguliwa ila majanga yanakuja kwenye mtihani wa form six sijui na wenyewe mtabebwa so u have to work hard
 
Kama una credit 3(C 3) utaenda Advance lakin private na sio govt, Kama hauna we rudia tu pepa lakin uwe makini maana kurisiti sio sawa na kuimba bongo fuleva.

mkuu mwaka jana selection watu kibao wamechukuliwa walikuwa na c mbili tu
 
Never on the earth mkuu, Mwaka huu baada ya matokeo serkali ilitaka kushusha sifa za kuchukua wanafunzi wa kwenda form5 sababu matokeo yalikuwa mabaya na kupelekea hata idadi ya watakaoenda advance wawe wachache sana, Lakin baada ya uchakataji serkal ikaghahiri kufanya uamuzi huo kwan tayar idadi imeongezeka.
 
mkuu mi nina uhakika na ninachokisema wanachukua ili mradi kombi yako uliochagua iwe na c mbili angalau na d moja hususani kwa watu wa sayansi
 
May be mkuu, Maana siku hizi mambo ya uchakataji yametamalaki kila kona ya elimu yetu.
 
sasa mdogo wangu mwenye div 3 ya point 25 hana f hata moja...na anayo credit 3 ambayo haija balance atachaguliwa.
 
Kwa anayefahamu pls anijulishe ni nini passes za combination za arts please.Je, mwenye C,D,D. KWENYE HGL anaweza pata form 5 ya serikali ingawa ana Div 4 points 26?
Acha utani wewe,elimu haiwezi kuwa rahisi kiasi hicho,kwa maksi hizo za wacheza viduku na wanaoshindana kuonekana wasafi shuleni sahauni kabisa kuhusu A level,hata hivyo certificate sio mbaya!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom