Selection vyuo vikuu: Fomu ya kujiunga, taarifa za vyuo na kozi

Selection vyuo vikuu: Fomu ya kujiunga, taarifa za vyuo na kozi

Hostel zipo kibao tuu karibu na chuo kuanzia laki6 mpaka milioni kwa mwaka.Ajiandae Kuishi kana mwanafunzi wa sekondari chuo kina sheria balaa,msisitize sana atunze risiti mpaka mwaka atakapomaliza chuo vingenevyo atajuta,malipo alipie katika matawi yaliyoainishwa na chuo asimpe mtu pesa mkononi au akalipia kwenye matawi mengine yatamkuta yakumkuta.
Walimu wengi ni Wakenya wakuda wakuda hivii,Chakula Mwanza bei simple mnoo kama akiamua kupika au kula kwenye migahawa.Usafiri kwenda town ni ni wa uhakika,chuo kipo nje kidogo ya mji.Totozi za kumwaga awe makini boom linaweza kuisha kwa siku moja,kama hana ndugu au jamaa afikie nyegezi corner kuna guest za bei nafuu wakati akifatilia usajili na hostel.
Ushauri wangu akae mitaa ya nyamalango au kwa Masha,atafute mtu watakayeendana tabia waishi pamoja na wajipikie.Kama hela zake ni za kuunga unga aende Kuishi hostel moja ya wanaume watupu inaitwa Darfur,bei haizidi laki3, msosi ulikuwa unauzwa buku na mikopo ipoo,chumba mnaishi mtu4.
Kwenye masomo kuna magroup ya kudiscuss haya ndo yatakukomboa,atafute group la watu makini na wapenda shule,akifata magroup ya wauza sura utapata supp mpaka utaacha shule mwenyewe.
Tengeneza ghetto au chumba vizuri ili upate wageni wa kutosha,kuwa msafi,fanya mambo yako.Biashara pia zinaenda kama unatokea dar usije mikono mitupu njoo na sandals,jezi,jeans za bei poa,saa unaweka kwenye kibegi na madaftari ukikuta kikundi cha watu unawaonyesha bidhaaa tuu hii ni kama hauna aibu.Masomo mema.

Aisee wewe uko deep,maelezo yako yamejaa nyama. Yaani,ingekuwa mimi ningefunga thread.
 
Anaye fahamu chuo cha Marian kilichopo Bagamoyo anisaidie wakuu mazingira yake na utoaji wa elimu kwa ujumla pamoja na sheria za chuo bila kusahau hostel kama zipo kwa first year.
 
Mwisho asijejaribu kwenda kufanya usajiri akiwa amelewa,asimtukane hata mfagizi wa canteen,asiende na masigara.Atakumbana na maudhi mengi mnoo lakini awe mpole tuu,akifanya haya atafukuzwa chuo dakika hiyo hiyo na hakuna huruma wala msamaha pale.
 
Asante mkuu kwa drs mujarabu,me pia nimechaguliwa hapo[/QUOTE Wahi fanya usajili mapema kuepuka usumbufu,utakutana na wanafunzi wajuaji balaaa,miezi mitatu ya kwanza utawaona wanafunzi wanasoma kama wametumwa na kijiji kadiri muda unavyoenda watazid kupungua usibabaike sana,ishi maisha yako.Mara moja moja uwe unaenda kuangalia game kirumba,jipige offer za kwenda jembe,bujora,malaika charcoa,villa.fanya ujinga wotee usiache kufanya test,quiz.
 
Nimechaguliwa iaa-bfb kipi nizingatie kupunguza gharama na ubora wa kozi yenyewe
 
Asante mkuu kwa drs mujarabu,me pia nimechaguliwa hapo[/QUOTE Wahi fanya usajili mapema kuepuka usumbufu,utakutana na wanafunzi wajuaji balaaa,miezi mitatu ya kwanza utawaona wanafunzi wanasoma kama wametumwa na kijiji kadiri muda unavyoenda watazid kupungua usibabaike sana,ishi maisha yako.Mara moja moja uwe unaenda kuangalia game kirumba,jipige offer za kwenda jembe,bujora,malaika charcoa,villa.fanya ujinga wotee usiache kufanya test,quiz.

Shukran mkuu,pamoja sana
 
mim nauliza jinsi gani ntaweza kufanya transfer kutoka chuo kimoja kwenda kingine nifanyajee?
 
Back
Top Bottom