Selection vyuo vikuu: Fomu ya kujiunga, taarifa za vyuo na kozi

Selection vyuo vikuu: Fomu ya kujiunga, taarifa za vyuo na kozi

kumbuka kinaitwa chuo cha USHIRIKA bt hakuna ushirika kwenye mitihani. ukileta uzembe utaliwa tuu maana hakuna namna nyingine coz hiyo ndo SUA ndogo aseee
 
Kwa hii faculty bachelor of science in chemistry ajira zake, inahusika mambo gani zaidi? Thanx
 
tuliochaguliwa sua education ya chemistry na mathematics tukutane hapa tujuzane mengi naomba kuwasilisha maada karibuni
 
Aliechaguliwa coz hii atarajie nini?
Msaada tafadhal,,,, if you know!
 
Habar zenu..
Kwa wale walio apply mkwawa mwaka huu je kuna alieona majina ya waliochaguliwa pale?? Ama je kuna waliotumiwa meseji ama kupigiwa simu na chuo cha mkwawa kujuilishwa kama wamepata pale??
 
Pia unaweza kuajiliwa kwenye mabara za serikali, viwandani, tfd, mkemia mkuu
 
Nimechaguliwa koz y insurance and risk management, napenda kufahamu demand yke ktk soko la ajila
 
Habarini wadau naomba kujuzwa hivi ni kweli kwamba wanafunzi wa st Joseph wenye mkopo ni lazima wawe na akaunti ya EXIM bank na si benki nyingine. Nimeambiwa hili na rafiki yangu mmoja ,ila sikumuamini naomba wanaosomea hapo wanijuze?
 
kuna jamaa alimaliza hiyo kitu pale DIT mpaka sasa yupo hom kwa miaka mi3 anataka akapige degree ya electrical
 
mm mwenyewe nimesoma iyo kitu sina ajira mpaka leo huu mwaka wa 6 nipo tu home
 
mm mwenyewe nimesoma iyo kitu sina ajira mpaka leo huu mwaka wa 6 nipo tu home

dah ww jamaa acha mambo yako basi....huwa unanikera imebidi nicheke tu..na hii humo tena umetisha bro,
 
Vp naweza tumiwa admission letter jwa email ciz npo mbal na Moshi
 
Back
Top Bottom