mari mari
Member
- Sep 25, 2014
- 55
- 5
Mkuu nadhan wanaweza kukuonyesha.
Kupitia profile zetu au
Mkuu nadhan wanaweza kukuonyesha.
Km udsm wamekureject nenda nacte km Jina lako lipo watakuambia na utafanya selection mpya
Profile yako wamekuandikiaje zee seeker? unaweza weka screenshot japo kaujumbe tuu?
Mkuu ahsante...nilienda nacte wakaniambia kwa jna langu halimo kwenye rejected list na vilevile kwa faculty niliyoomba udsm haijawarudshia majna yoyote...majna ambayo udsm imerudsha n za faculty zngne......tatzo confirmation!!!!..daa..nahic kuchanganyikiwa then leo ndo wameanza kuripoti!!
Ungesaidia kuwajuza wenzako faculty ambazo wamereject applicants
Kesho twende Udsm
Hata hivyo ninyi mlipataje hivyo vyuo vikuu au hapo UDSM wakati vyuo vilikuwa havipo kwenye list ya NACTEWaliochaguliwa na Nacte kwenda udsm halafu bado wanasema tusubiri confirmation kutoka chuo wana maana gani? Hapo hapo ukiingia website ya chuo, wapo silent kutoa majina na opening date in 31-10 hii imekaaje? Msaada kwa wale mlioulizia NACTE kuhusu hilo. Mi nipo mkoa