Selection UDSM 2014/2015

Selection UDSM 2014/2015

Mazee nsaidieni mdogo wangu huyu S1350/0015/2011 kama kapata au anatuumiza kichwa tuu nyumbani hapa
 
hongereni vijana woote mliochaguliwa udsm karibuni saana
 
siku hizi main campus mnaita Mwl. j.k nyerere? haya hongereni mliochaguliwa kazi ni moja tu kusoma mambo ya kuanza kujifunza pombe na umalaya muache.
 
wale wa pspa welcome tooo. but msongo wa mawazo kwenye course hauepukiki
 
kuqnzia [silvester twewele] mmekosa isipokuwa misana nanai na agripina hao walioomba duce wamepata. nashindwa kureply moja moja network nilipo ni mbov sana
 
wadau nafkir tutaonana kesho huku nilipo ni kijijini hakuna umeme na internet ni majanga. kesho kuanzia saa nne tutakua pamoja
 
Back
Top Bottom