Selection status-not yet processed | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Selection status-not yet processed

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SWEET GIRL, Aug 22, 2012.

 1. S

  SWEET GIRL JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  Wadau naomba msaada nifanyeje kwani mimi nikiingia kwenye akaunti yangu ya TCU napata kama ifuatavyo
  SELECTION STATUS-NOT YET PROCESSED sasa sielewi kama niko admitted au vipi na pia kwenye majina ya TCU yaliyotolewa jana ya watu ambao hawajachaguliwa jina langu halimo sasa nipo kwenye hali ya sintofahamu please naomba msaada wenu nifanyeje
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Nenda kweny akaunti yako, bofya my profile, then bofya view my selection status utapata jibu conclusive!
   
 3. h

  hajoma Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15

  Mimi mwenyewe nina tatizo kama la kwako. Toka tetesi zianze naangalia nakuta kozi zote zimeandikwa not yet processed. Kwenye orodha ya waliokosa simo, pia kwenye vyuo nilivyoomba badhi matokeo yameshtoka kama udsm, udom, mwenge mi simo. Ila niliomba choice ya kwanza Makumira ila nashindwa kujua matokeo yao yametoka ama la maana kwenye tovuti yao sijaona. msaada tafadhali maana hii pressure ni kubwa mno
   
 4. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kuna ndugu yangu anatatizo kama lako, nilipost hapa kuomba namba ya TCU, namshukuru Lordvile aliyenipatia namba hii kuwasiliana na mtu aliyeko TCU ambaye baada ya kumweleza alikataa kuwa hakuna tatizo kama hilo, namba yake ni 0712 722684
   
 5. h

  hajoma Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Mpangamji nashukuru sana maana sina hata amani, siku za kuomba tena nazo zinayoyoma isije kula kwangu ngoja nijaribu kumpigia nione ataniambiaje na mimi,
   
 6. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu nimegundua tatizo ni internet explorer, tumia firefox utapata majibu yako vizuri
   
 7. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tumia firefox itakuonyesha vizuri, internet explorer haionyeshi sijui kwa sababu zipi
   
Loading...