Selection second

Senorita23

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
390
Reaction score
489
Ndugu dogo alikosa mara ya kwanza akaomba mara ya pili sasa majina yametoka walochaguliwa chuo kimoja na kuambiwa third round 24_26
Sasa naulza je vyuo bado havijatoa majina au sijaona tu na kama havijatoa mtu atajuaje amechaguliwa au la
Pili mtu unatumia web gan kulogin maana dogo haelew yaan kuangalia taarifa zako(profile) ili kama katemwa aombe tena
 
Sijajuwa n mchezo gani serikali inacheza mpaka sasa maana majina ya sec round ni machache sana na pia wanafunzi wengi hawajaona majina yao mwanangu analia tuu hapa vyuo vitatu na hajaona jina lake
 
Sasa ww unafikir kwa ngel unaeza nikuta hata robo yan hapo n kwamba nilkuwa kwenye hali ya kuchoka sana niltype hvo ila nkajua wa kujiongeza ataelewa sasa ww ndo unajidai kijua ngel
Yaani kukurekebisha ndo unaandika haya nilidhani nimekurekebisha kwa ustaarabu. I am very sorry I have hurt your feeling to correct you. Ume apply kozi gani huko vyuoni?
 
Yaani kukurekebisha ndo unaandika haya nilidhani nimekurekebisha kwa ustaarabu. I am very sorry I have hurt your feeling to correct you. Ume apply kozi gani huko vyuoni?

Sidhani kama ni nafasi ya kurumbana hapa cha msingi ni kuwatia moyo wanafunzi/vijana wetu wajue hatima yao watafanyaje kupata nafasi za kusoma vyuo maaana serikali inawachanganya walipo wanashindwa cha kufanya
 
Nilikuwa nataka nitoe msaada hapo ndiyo maana nikauliza ka apply chuo gani tuanze kumshauri pia.
 
JF haipo kama nilivotarajia
Humu kumejaa matusi ya kila namna
Na hawa ndio wadogo zetu ambao tunatarajii baadae tuwaachie majukumu ya kuijenge nchi lkn mambo yao ndio kama haya,yaani wao kumaliza form six ni ishu sana lakini wengine tushamaliza miaka mingi mpaka Chuo chenyewe mpaka tulishasahau hata tulisoma mwaka gani
 
Mkuu upo sahihi

Ila mi nadhani pia baadhi ni watu wazima wenzetu hawajielewi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…