Sekta ya maakuli....

Sekta ya maakuli....

Starter ni ipi, main ipi na desert ipi ili nikupe like nyingi tu>
Nimeona starter kama fruits, nikaona main kama Samaki, mboga za majani na dona, nimeona desert ya maziwa hivyo mlo kamili umetimia ila ulipaswa kuviweka kwa mpangilio ila umefanya vizuri. Mchuzi kwa waliozoea ugali na rost umewakosea. Ungeweka hata kachumbali ili mchuzi wa nyanya usukume dona. Mimi nisiyekula samaki hapo nitaambulia mboga za majani, ugali na matunda. Huwa tunadhani matunda ni desert lakini kiafya unabidi uanze na matunda kabla ya chakula. Wanasema wataalamu wa vyakula siyo mimi.
 
Nashukuru kwa darasa mkuu
 
Back
Top Bottom