Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Watu tulipata kazi kupita hapo na wala hatukutoa rushwa. SINA CHA KUCOMENT ZAIDI YA HAPO.
Hongera ndg, Na lazima utamke haya na mi sikatai ila nia angalizo tu hiii taasisi kuwepo kwake kuna lengo kubwa kwa taifa hasa sisi vijana. Lakini kama nyumba inavuja ni lazima uzibe tundu kabla ya nyumba haijabomaka. Bado nina Imani ni taasisi ni mambo madogogo madogo inatakiwa yawekwe sawa. Mtihani niliofanya ulikuwa una maswali matano ambao nimefunga safari kutoka mbali kwa ajili yake.
Na juu ya hiyo kwa Interview ya 19/04/2012 pekee yake kuna zaidi Thread yangu inawalaumu hawa watu. So mpaka kufikia hapa ni Watanzania wangapi hawasemi ni ANGALIZO tu mkuu.
Kabla watanzania walio wengi hawajapoteza imani kwa taasisi hii
Habari wana jamvi,
Ni mara ya kwanza kuitwa hawa watu kwa ajiri ya Interview. Ila kile kilichojitokeza jana kikiachwa kiendelee tutakuwa tunaendeleza ugonjwa uleule na kupoteza dhana nzima ya kuanzishwa kwake.
Nilibahatika kuingia kwenya mtihani wao wa maandishi ukilinganisha nawale ambao hawakupata nafasi ya kufanya mtihani huo, kwasababu zisizo na msingi za kukosa vyeti halisi vya elimu zao. Ikiwa matokeo ya mfumpo mbovu wa vyuo vyetu.
Kinachonisikitisha ni namna gani wanasahihisha hiyo mitihani yao kupata washindi kwa ajili ya Oral interview. Kwa mtihani ambao nimeufanya sijaona tatizo na kosa la kunifanya nisirudi kwa Oral interview.
Na sisitiza hii taasisi iangaliwe kwa macho mawil.i Nachelea kusema kuwa kuna dalili za Rushwa, Makisi za huyu kupewa mtahlniwa mwingine, Kuna ukabila.
Taasisi ichunguzwe kabla watanzania hatujapoteza imani nayo. Kwawale wamepata ajira kupitia taasisi hii kwa kubebwa watabeza ushauri huu.
Kwa wale waanga kama mm tujipe moyo tumaini linakuja.
IF YOU CANNOT KILL YOUR, BUY HIM
[/COLOR]
Ni vizuri kutafakari juhudi zako na uelewa na matokeo badala ya kukimbilia kulalamika. Unaposhindwa jiangalie umeteleza wapi ili ujirekebishe na fursa zijazo na ufanikiwe badala ya kutupia lawama watu wengine kwamba umeonewa, usahihishaji si mzuri n.k. Hebu liangalie tena neno nililoliwekea alama nyekundu na ujiridhishe kama liko sahihi na kama lina maana uliyokusudia. kwa hiyo wakati mwingine wewe unaweza kuona umeandika sahihi kumbe siyo.

Inaelekea hujiamini kabisa mdogo wangu. Suala la vyeti halina mjadala unatakiwa kuifuata maelekezo. Kama Vyuo havijatoa au vina taratibu mbovu hilo si suala la sekretariat. Sisi wenzio tuliajiriwa kupitia taasisi hiyo. Kama unadhani kuna ukabila na kujuana waambie warudishe utaratibu wa zamani uone kama utapata kazi,Habari wana jamvi,
Ni mara ya kwanza kuitwa hawa watu kwa ajiri ya Interview. Ila kile kilichojitokeza jana kikiachwa kiendelee tutakuwa tunaendeleza ugonjwa uleule na kupoteza dhana nzima ya kuanzishwa kwake.
Nilibahatika kuingia kwenya mtihani wao wa maandishi ukilinganisha nawale ambao hawakupata nafasi ya kufanya mtihani huo, kwasababu zisizo na msingi za kukosa vyeti halisi vya elimu zao. Ikiwa matokeo ya mfumpo mbovu wa vyuo vyetu.
Kinachonisikitisha ni namna gani wanasahihisha hiyo mitihani yao kupata washindi kwa ajili ya Oral interview. Kwa mtihani ambao nimeufanya sijaona tatizo na kosa la kunifanya nisirudi kwa Oral interview.
Na sisitiza hii taasisi iangaliwe kwa macho mawil.i Nachelea kusema kuwa kuna dalili za Rushwa, Makisi za huyu kupewa mtahlniwa mwingine, Kuna ukabila.
Taasisi ichunguzwe kabla watanzania hatujapoteza imani nayo. Kwawale wamepata ajira kupitia taasisi hii kwa kubebwa watabeza ushauri huu.
Kwa wale waanga kama mm tujipe moyo tumaini linakuja.
IF YOU CANNOT KILL YOUR, BUY HIM
Hata mie niliyesoma enzi ya kabla ya kuanzishwa hii tume nilipoomba ajira sehemu kadhaa serikali bila cheti sikuitwa hata kwene usaili. Hizi ni taratibu za kawaida. Kama waliajiri kwa transcript ni either kulikuwa na ulazima wa kuajiri mapema (priority) au makosa ya kibinadamu.Natumaini hujapata uwanja wa kukutana na hii sekretariet ana kwa ana. Inamapungufu mengi ambayo yasiporekebishwa karibuni wanasiasa wakaiona, bas watalifanya tukio la kisiasa na itafutwa tu bila shaka. Pamoja na haya yote, ni vigumu pia kuridhisha kila mtu ila si sahihi kuridhisha wachache maana yaweza kuwa ni ishara ya uvunjaji haki...
Hii sekretariet haizingatii ubinadamu, haizingatii sheria za ajira na haina consistency. Leo wanaajiri kwa transcript kesho wanasema hawazitambui, keshokutwa wanakupigia sim uende kwenye mtihani na transcript yako yani madudu madudu madudu
Umedhihirisha kukosa people skills. Wenzio wanajadili maswali wewe uko bize unajifanya uko fiti na tai yako, unaingia kwene pepa unakuta maswali ni yaleyale, kijasho kwanini kisikutoke?? Hili ni kosa lako mwenyewe kwa kuchezea bahati, haijalishi hayo maswali yalipatikanaje, wewe kama askari wa miguu ulitakiwa u-seize hiyo opportunity KWANZA mengine baadae.hata mm nakumbuka mwezi uliopita niliitwa katika interview na tume hiyo hiyo..., nashangaa kuona watu wana videsa kabla ya paper na watu wana discuss hizo points as if ni kama wamesomeshwa darasani, ila mm sikuwatiia maanani COZ NILIJIANDAA NINAVYOJUA MM. kuingia ndan ya paper ya written, mambo yakawa ni yale yale ambayo waliokuwa wakidiscuss yametoka.
by then baada ya hapo nikafanya ninayo yajua, then nikajua kuwa hii nchi ni ya KITU KIDOGO
Pole mdanganyika kwa yaliyokukuta...!
Yaani kwenye vyuo vyenye mfumo mbovu ni hicho,watu wamemaliza 2009 wamepata vyeti mwaka huu,Kiukweli sijaona rushwa kwenye sekretariati ila yawezekana ikiwa wepo maana kazi nyingi ni za kujuana.Nshafanya usaili pale na nkaona haki ikitendeka.pole sana kaka!lakini hivi hili tatizo la vyuo kuchelewa kutoa vyeti halisi ni tatizo la mhitimu?mi juzi nimekwenda chuo cha uhasibu(TIA)kuulizia cheti cha dogo amealiza mwaka jana,he!naambiwa pale cheti ni baada ya miaka 3!
Hongera sana na nimependa comment zako na zinzzihihirifa namna ulivyo mpuuzi.