Sekondari zenye majina ya wanasiasa ni aibu!

indelible

JF-Expert Member
May 2, 2015
652
299
Wasalaam

Nilikuwa napitia ufaulu wa watoto wetu, kisha nikavutiwa kuangalia shule zenye majina ya viongozi wetu wa kisiasa.

Nilichokutana nacho nimehisi aibu, natambua ufaulu wao unaweza usiwe na mahusiano moja kwa moja na wahusika wenye majina lakini hautoi taswira nzuri kwa jamii.

Nadhani wenye majina wana haja ya kuweka restrictions kwamba shule isipofikia performance hii bora jina lake lisitumike!

Mfano Anna Abdullah
EXAMINATION CENTRE CLASS PERFORMANCE

REGIST - 72

ABSENT - 0

SAT - 78

WITHHELD - 8

NO-CA - 0

CLEAN - 68

DIV I - 0

DIV II - 6

DIV III - 7

DIV IV - 27

DIV 0 - 24

William Lukuvi Second School

EXAMINATION CENTRE CLASS PERFORMANCE

REGIST - 62

ABSENT - 4

SAT - 58

WITHHELD - 0

NO-CA - 0

CLEAN - 58

DIV I - 1

DIV II - 3

DIV III - 7

DIV IV - 43

DIV 0 - 4

Benard Membe Secondary school
EXAMINATION CENTRE CLASS PERFORMANCE

REGIST - 29
ABSENT - 0


SAT - 29

WITHHELD - 5

NO-CA - 0

CLEAN - 24

DIV I - 0

DIV II - 0

DIV III - 2

DIV IV - 9

DIV 0 - 13

Nimetolea mfano hizo tatu ingawa zipo nyingi sana zenye kuaibisha.

Ni mtazamo tu
 
hiyo ya lukuvi mbona ipo vizuri tuu, ina hadi division one, halafu wamefeli 4 unasema aibu? au hujawahi kuona aibu nini
Tuna mitazamo tofauti sana nadhani yaani kwangu mimi mtoto alie soma kwa miaka 12 kuanzia kindergarten mpaka secondary kupata division four sio zero namaanisha four ni aibu ya kutembea utupu.
 
Tuna mitazamo tofauti sana nadhani yaani kwangu mimi mtoto alie soma kwa miaka 12 kuanzia kindergarten mpaka secondary kupata division four sio zero namaanisha four ni aibu ya kutembea utupu.
mimi nimeongea kwa kulinganisha na matokeo ya kitaifa yalivyo
mwaka huu wastani wa ni ufaulu ni 67% kitaifa na kwenye hiyo shule ya lukuvi wastani wake ni 93%
 
Ebu nisaidie chukua shule zote zenye majina hayo then Nipe sum ya ufaulu wao linganisha na shule kama Alliance ya Mwanza ndio utaiona content yangu
mimi nimeongea kwa kulinganisha na matokeo ya kitaifa yalivyo
mwaka huu wastani wa ni ufaulu ni 67% kitaifa na kwenye hiyo shule ya lukuvi wastani wake ni 93%
 
Majina makubwa yawana siasa siyo ufundishaji.muhimu kufundisha
Sijui kama unafahamu reflection ya jina na ufaulu? Ebu niambie mfano Jomo Kenyetta university iwe na ufaulu w kijinga kama sio Kenya yote itaandamana. Reputation lazima ilindwe kwa ku motivate watoto, waalimu na wazazi.
 
Back
Top Bottom