Huku mwenyekiti akimaliza ziara yake mikoa hiyo prof Ibrahim Lipumba Leo naye anaanza ziara mikoa ya kanda ya Kati akianzia na mkoa wa Tabora huku naibu Magdalena sakaya akielekea mkoa wa Tanga kina kona ni UKAWA, TV zinabana kuonyesha ziara za viongozi Hawa lakini chaguzi za serikali ya mtaa itatoa majibu.