Seif Al-Islam atoroka gerezani Libya

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
Habari kutoka Libya, zaeleza
kuwa Seiful Al-Islam mtoto wa
Rais wa zamani wa Libya
aliyeuwawa kikatili
amefanikiwa kutoroka katika
jela alilokuwa amefungwa akisaidiwa na mshauriwake.
Seiful Al-Islam ametoroka
katika jela hiyo na kuondoka
nchini humo akisaidiwa na
mshauri wake wa karibu wa
kisiasa Muhammad Rashidi, na hivi sasa yasemekana yuko
katika uanja wa ndege wa
Niger kukimbilia
kusikojulikana.

Source:ABN
 
Kaka umepata wapi hio habari??


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Mi nina mtambo una break news kabla hazijatokea, na sijaiona hii.

Umeitoa wapi?
 
Huu ni udaku wa hali ya juu. Ni uzushi ulioanzishwa na mtandao wa kizayan Debka File. Ingelikuwa ni kweli nina uhakika habari hii ingeenea haraka kama moto kwenye majani makavu!
 
Back
Top Bottom