Sehemu za makazi zilizoendelea kwa kasi Kanda ya Ziwa.

Sehemu za makazi zilizoendelea kwa kasi Kanda ya Ziwa.

sayyi

New Member
Joined
May 7, 2025
Posts
4
Reaction score
7
Habari wana JF,
Je kwa sasa kanda ya ziwa ni sehemu zipi zinazoendelea katika ukuaji wa kasi kwenye ujenzi wa nyumba za kisasa za MAKAZI na je viwanja vinapatika kwa size ipi na thamani yake ikoje?
 
Back
Top Bottom