Sehemu inayofaa kwa faragha na mkeo/mpenzio

Naz jaz umenikumbusho tukio moja lilitokea Uganda. Nilisoma habari hiyo kwenye gazeti la Daily Monitor. Jamaa mmoja alifumwa akila uroda na mpenzi wake kanisani! Aliwakuta muumini mmoja wa kanisa hilo. Alikuwa akipita akasikia sauti za watu kanisani. Mwanzoni alifikiri labda wanafanya shughuli fulani ya kiutauwa, labda kufanya usafi, nk. Lakini aliposogea akasikia sauti za miguno na vilio vya utamu alizokuwa anatoa mwanamke. Akaingia kanisani akakuta shughuli ndio kwanza imeshika kasi! Alitoa taarifa kwa majirani, wale watu wakapelekwa polisi baadaye mahakamani kujibu tuhuma za kunajisi mahali pa ibada!

Sipati picha ingekuwa msikitini halafu akaenda kuitwa Shekh Ponda na yule Faridi ya uamsho
 
Back
Top Bottom