Sehemu inapouzwa vifusi vya lami kwa Dar

twafa-kali

JF-Expert Member
Dec 15, 2012
251
211
Jamani wadau nauliza sehemu ambapo inapatikana vifusi vya lami kama mabaki ya barabara ya lami baada ya kukwanguliwa either kwa kukosewa kujengwa (chini ya ubora) au kufikia maximum life span.

Mfano lami inayochimbuliwa baadhi ya sehemu katika morogoro road huwa inahifadhiwa wapi?
Au inauzwa sehemu gani??
Na ni shilingi ngapi kwa lori/tipper??

Ninahitaji kuwekea katika kibarabara kinachounganisha kwenye kibanda changu kama mita 100 huku Mbezi ya Kimara kwani pana mwinuko mkubwa sana usafiri kwa gari kupanda inasumbua sana hata kipindi hiki ambacho hakuna mvua.

Kuna watu wakanishauri kuwa nikiweka hicho kifusi cha mapande ya lami itakuwa ndo muarobaini wa hilo tatizo.

Nakaribisha na wazoefu wengine ambao wanaishi maeneo yenye vilima vikali ambao wameweka vifusi vya lami kwenye barabara zao.

Natanguliza shukrani.
 
Mkuu wakati ukisubiri majibu hapa unaweza pia kuwadodosa wenye malori yanayosomba mawe, kokoto, mchanga wanaweza kuwa wanajua kunapopatikana vifusi vya aina hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom