Sehemu Gani ya mwili wako hucheza kuashiria Kuna tukio linataka kutokea??

Mimi ni tofauti sana kuna mambo na imagine na yanatokea vilevile, ila SIO YOTE. Mfano naweza panga safari ya kuja kwako kukuona nikihisi kuwa tunatakiwa tuonane nispokuja unakuta umefanya jambo ambalo sikutaka ulifanye kabisa au the way ulivyolifanya this happens frequently.
Hongera kwa kutambua ishara zako
 
Siku hizi sitaki kuongelea mambo ya baadae kwa mzaha
Kuna rafiki yangu nilimwambia.wezi watakuingilia dukani kwako.
Na kweli kesho yake wakamvamia.
Na kuna dogo alikuwa anapenda kunitania sana.kuna siku nikamwambia wewe nini marehemu.
Haikupita wiki dogo akafa.
Hata kwenda kumzika niliona AIBU.
Jambo hili huwa linanitokea ila Biblia imesema, ulimi unaumba, hiyo inatokea kwa Sababu unavyotamka unakuwa unamaanisha, unakuwa hauna wasiwasi wowote moyoni mwako, na hauko kwenye Mzaha, hivyo unakuwa umetamka kwa kumaanisha
 
Nimekoma.unaweza ukafungwa hivi hivi.unaweza ambiwa umepanga wizi,
 
Mimi huwa ngozi ya jicho la kushoto linacheza kuashiria Heri nalikicheza jicho la kulia huashiria jambo la Shari ,hivyo huwa nachukua tahadhari sana
 
Siku hizi sijui ni kwanini hainitokei sana kama zamani.

Binafsi huwa nikikaa hivi bila stress na nkawa normal, kama kuna jambo lolote kubwa au dogo, baya au zuri huwa nalihisi kabisa.

Tena hii ni tofauti kabisa na hisia zingine, huwa hisia zinakuja kwa kunihimiza kabisa kuwa kuna jambo linakuja na huwa ninasikia kabisa ndani ya akili yangu na moyoni kuwa kuna kitu kipo mbele.

Cha ajabu siku hizi hata hainitokeagi hii kitu.
Punguza Tabia Ya Uzinzi

.."father G" the Golden Boy...
 
Back
Top Bottom