Sehemu gani nzuri ya maombi Arusha

Shuka ungalimited ukilipita kanisa katoliki la ungalimited kwa chini yake kuna kituo cha Charismatic kama sijasahau kinaitwa kituo cha St Joseph wanamaombezi mazuri. Pia wanalaza watu wanaotoka mbali au wanaotakiwa kupewa huduma ya uangalizi wa kiroho.
Wapo vizuri sana kuna masista na mapadri na watumishi wa kawaida..Ila ukilala utachangia chakula.
Kama upo interested niambie nikupe namba ya mtumishi mmoja akupe maelekezo ya vipindi vya maombezi na ibada
 
Unazungumzia karibu na pale njia ya sinoni?au kituo cha daladala cha masista?
Sawa mkuu karibu pm,
 
Kijana kumbe nawe upo Archuga,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…