Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy Chato?

Iammoshyn

Senior Member
Nov 2, 2019
157
223
Habari wakuu

Nimeingia chato jioni ya leo,Mie mgeni kidogo nitakuwa huku kwa siku mbili Tatu.

Wenyeji wa chato waliomo humu, sehemu gani nzuri Za kujidai na kuenjoy au beach gani nzuri.
 
nenda Kaburi Motel, hapo panavutia sana
 
Back
Top Bottom