Ni sehemu gani nzuri iliyopo mbeya ya kupumzika na kuenjoy (kula na michezo ya watoto)

Benjamin10

JF-Expert Member
Dec 31, 2016
389
553
habari za weekend wakuu, mimi ni mgeni mbeya, sasa weekend huwa nakua na mapumziko katika mishe mishe zangu, ila sasa huwa nakosa sehemu nzuri ya kutembelea, ninapokua katìka mapumziko yangu..

Wenyeji wa huku naomba mnitajie location ambayo ni nzuri ambayo naweza refresh mind, na vile vile iwe na sehemu ambayo watoto wanaweza, kufurahi na watoto wenzie(yenye michezo ya watoto)
 
Back
Top Bottom