Sehemu gani Kariakoo naweza kupata freezer mpya kwa laki sita?

HSE Officer

JF-Expert Member
Apr 10, 2023
651
844
Habari ndugu zangu

Jumamosi tarehe 14.10.2023 nahitaji freezer kampuni ya hisense mpya lita 200 nina laki sita.

Natanguliza shukran
 
Simple tu! Watafute kwenye page zao kupia insta au mitandao ya kijamii kwa ujumla then angalia Bei zao walukie hewani muelewane...au nenda na iyo barabara ya Uhuru karibu na mtaa wa Livingston na Uhuru angalia kulia kuna moja la duka lao nenda kaseme nao ingawa kwa Bei iyo sidhani

Kwa Kariakoo maduka wanayo mengi lingine lipo hapo kwenye mataa ya Uhuru na msimbazi angalia jengo la Samsung kwenye lile bango kubwaa kushoto kwako nenda kabahatishe bahati yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom