Sefue: Tumemaliza kumchunguza Maswi

Sefue: Tumemaliza kumchunguza Maswi

Kwa hiyo wewe uliamini kwamba Maswi alitenda kosa? Hata mtu wa kawaida alikua kwamba Maswi hakutenda kosa. Akiwa kama mtendaji wa serikali aliomba muongozo toka ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali ambaye ndiye mwenye dhamana ya kuishauri serikali kuhusu masuala ya kisheria. Mwanasheria akampa mwongozo tena akamwambia afanye haraka serikali isije ikaingia katika matatizo; haya yapo kimaandishi, sasa Maswi angekaidi?

Ndiyo maana tunaomba katiba iliyopendekezwa na Warioba ilejeshwe.kwa sasa hivi hakuna mfumo mzuri katika kulinda Raslimali za nchi.Hata madaraka ya Rais yapunguzwe kama wenzetu Kenya.Nyerere alishasema siku mkipata Rais Dikteta kama Amin ndiyo mtamkumbuka Warioba.Suala hili la Maswi nionavyo mimimi ligefaa lipelekwe mahakamani,lakini na huko ndiyo Majaji wetu wahusika wa mgao wa Escrow.Kikubwa ni mfumo mzima wa watawala ubadilike,lakini hauwezi kubadilika mpaka katiba mpya kama iliyopendekezwa na Jaji Warioba
 
Sawa Maswi alihisikuna pesa za umma hapo na aliomba ushauri kwa AG Werema aliyesema pesa za Escrow zichotwe tena haraka!

Lakini mbona BoT kama msimamizi wa mabenki haitoi orodha ya waliochota pesa za Escrow kupitia Stanbic bank?

Weee naeeeeee,Fuata Maelekezo...,ulishambiwa nchi itatikisika bado unaulizia pesa za Stanbic?!
 
Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue,amesema wamekamilisha kuchunguza tuhuma zilizokuwa zinamkabili aliekuwa katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na Madini,Eliakim Maswi, juu ya kuhusika kwake katika sakata la uchotaji wa zaidi ya sh bilion 200 katika akaunti ya Tegeta Escrow.

Uchunguzi huo ulifanywa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa upande mmoja kuchunguza kama kulikuwa na ukiukwaji wa sheria ya maadili ya viongozi wa umma na pia ulifanywa na kamati iliyoundwa na katibu Mkuu Kiongozi kuchunguza kama kulikuwa na makosa ya kinidhamu.

Balozi Sefue amesema ripoti zote mbili teyari ziko mezani kwake.

My take:
Sitashangaa kuona Maswi akirejea katika utumusha wa umma baada ya kusimamishwa na safari hii akipangiwa majukumu mengine.
 
Tatizo la wanyarwanda ni watu wa ajabu sana,

kichwa cha andiko lako na andiko lenyewe wala havishabihiani kabisa,

Wewe unaweza kuonesha ushahidi usioshaka wapi maswi kahusuka,

mambo yenu ya huko Rwanda usituletee bana.
Kichwa cha mada kina tatizo gani? Je yawezekana kichwa chako ndo kina walakini kwa kutokuelewa kilichoandikwa?

Mleta mada keshasema ni tetesi, usichoelewa ni nini? Walisema wanafanya uchunguzi zaidi sasa si usubiri uone report kamili ili sote tuthibitishe ukweli wa tetesi?
 
.... Wadau, Ombeni Sefue Amesema Uchunguzi Wa Kamati Ya Maadili Ya Uma Dhidi Ya Kina Maswi Umekamilika. Ripoti Itawekwa Hadharani Mda Si Mrefu. Wasiwasi Wangu Ni Kwamba Watuhumiwa Wengi Kama Maswi Watasafiswa Na Kuonekana Hawakuhusika Kwenye Sakata La Escrow, Hii Ni Kwasababu Werema Alishasema Ahukumiwe Yeye Kwani Ndiye Alisababisha Hao Wengine Waingie Kwenye Kashfa Hiyo.. Yangu Macho, Mtanikumbuka.!

Tatizo lako nini
 
Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue,amesema wamekamilisha kuchunguza tuhuma zilizokuwa zinamkabili aliekuwa katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na Madini,Eliakim Maswi, juu ya kuhusika kwake katika sakata la uchotaji wa zaidi ya sh bilion 200 katika akaunti ya Tegeta Escrow.

Uchunguzi huo ulifanywa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa upande mmoja kuchunguza kama kulikuwa na ukiukwaji wa sheria ya maadili ya viongozi wa umma na pia ulifanywa na kamati iliyoundwa na katibu Mkuu Kiongozi kuchunguza kama kulikuwa na makosa ya kinidhamu.

Balozi Sefue amesema ripoti zote mbili teyari ziko mezani kwake.

Chanzo:Nipashe

My take:
Sitashangaa kuona Maswi akirejea katika utumusha wa umma baada ya kusimamishwa na safari hii akipangiwa majukumu mengine.
Kosa lake nini
 
Wamrejeshe wafanye kosa la kiufundi liwagharimu milele, Mpango wa Mungu uko hivyo iwe Pos au Neg faida iko palepale
 
Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue,amesema wamekamilisha kuchunguza tuhuma zilizokuwa zinamkabili aliekuwa katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na Madini,Eliakim Maswi, juu ya kuhusika kwake katika sakata la uchotaji wa zaidi ya sh bilion 200 katika akaunti ya Tegeta Escrow.

Uchunguzi huo ulifanywa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa upande mmoja kuchunguza kama kulikuwa na ukiukwaji wa sheria ya maadili ya viongozi wa umma na pia ulifanywa na kamati iliyoundwa na katibu Mkuu Kiongozi kuchunguza kama kulikuwa na makosa ya kinidhamu.

Balozi Sefue amesema ripoti zote mbili teyari ziko mezani kwake.

Chanzo:Nipashe

My take:
Sitashangaa kuona Maswi akirejea katika utumusha wa umma baada ya kusimamishwa na safari hii akipangiwa majukumu mengine.

Kama hana kosa kwa nini ushangae kurudishwa kwenye utumishi (utumusha) wa umma? Kwa nini apangiwe majukumu mengine na siyo kurudishwa nafasi yake?

Maswi hakuwa na kosa na ni vyema akarufishwa nafasi yake atuepushe na mgawo wa umeme.
 
Tangu lini Nyani akamhukumu Ngedere?-Najua ule muswaada bado haujasainiwa kwahiyo najiachia tu hapa.
 
.... Wadau, Ombeni Sefue Amesema Uchunguzi Wa Kamati Ya Maadili Ya Uma Dhidi Ya Kina Maswi Umekamilika. Ripoti Itawekwa Hadharani Mda Si Mrefu. Wasiwasi Wangu Ni Kwamba Watuhumiwa Wengi Kama Maswi Watasafiswa Na Kuonekana Hawakuhusika Kwenye Sakata La Escrow, Hii Ni Kwasababu Werema Alishasema Ahukumiwe Yeye Kwani Ndiye Alisababisha Hao Wengine Waingie Kwenye Kashfa Hiyo.. Yangu Macho, Mtanikumbuka.!

Watz msitegemee kitu tofauti na usafishaji wa watuhumiwa katika zile ripoti. Believe me or not, ila huo ndio ukweli.
 
Kama hana kosa kwa nini ushangae kurudishwa kwenye utumishi (utumusha) wa umma? Kwa nini apangiwe majukumu mengine na siyo kurudishwa nafasi yake?

Maswi hakuwa na kosa na ni vyema akarufishwa nafasi yake atuepushe na mgawo wa umeme.

The gospel according to st Kimbunga?!! Maswi hana makosa; kina Gurumo mko wengi huko nje! Bora ungesubiri ripoti ziwekwe wazi!
 
Tangu lini Nyani akamhukumu Ngedere?-Najua ule muswaada bado haujasainiwa kwahiyo najiachia tu hapa.
Angalia utakuja jisahau ukakuta mswada tayari umesainiwa na kutangazwa kwenye Government Gazette tayari kutumika, ukaishia kuwa mhanga.

Kwa hiyo ulitaka nini kifanyike?
 
The gospel according to st Kimbunga?!! Maswi hana makosa; kina Gurumo mko wengi huko nje! Bora ungesubiri ripoti ziwekwe wazi!
Mkuu unayo report utupatie hapa. Usiogope ule mswada bado haujawa sheria
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Sasa ripoti zipo mezani zinafanya nini?
Kama kazi ya uchunguzi imekamilika na report tayari, watupe hiyo ripoti tuisome na wao wachukue hatua zao.
 
Angalia utakuja jisahau ukakuta mswada tayari umesainiwa na kutangazwa kwenye Government Gazette tayari kutumika, ukaishia kuwa mhanga.

Kwa hiyo ulitaka nini kifanyike?

Kama Mandela alifungwa kwa kupigani haki za watu wengine ndio ije kuwa sisi wa huku mitandaoni?!
 
Mambo yalivyoenda ilionekana Maswi hakuhusika lakini wajanja wachache waleeee, mafisadi wachache waleeee sijui walikula maharage ya wapi waleee wakamtungia zengwe Maswiiiiiiii ili wamuondoe paleeee wapate kufanya mambo yao kuleeee. Lakini kweli itamuweka huru Maswi.

mkuu, hiyo signature yako halafu na hilo gwanda ulilopiga unatutisha mzee...lol!
 
.... Wadau, Ombeni Sefue Amesema Uchunguzi Wa Kamati Ya Maadili Ya Uma Dhidi Ya Kina Maswi Umekamilika. Ripoti Itawekwa Hadharani Mda Si Mrefu. Wasiwasi Wangu Ni Kwamba Watuhumiwa Wengi Kama Maswi Watasafiswa Na Kuonekana Hawakuhusika Kwenye Sakata La Escrow, Hii Ni Kwasababu Werema Alishasema Ahukumiwe Yeye Kwani Ndiye Alisababisha Hao Wengine Waingie Kwenye Kashfa Hiyo.. Yangu Macho, Mtanikumbuka.!

hii inawezekana kwani hakuna kitu rahisi kwenye hivi vinchi vyetu kama kuisafisha organised crime kwenye civil service!

Muhongo aliondoka kwa sababu ya pressure za kisiasa na public otherwise ingechukuliwa kiofisi-ofisi naye angepeta tu.

organised crime ni sumu!
 
.... Wadau, Ombeni Sefue Amesema Uchunguzi Wa Kamati Ya Maadili Ya Uma Dhidi Ya Kina Maswi Umekamilika. Ripoti Itawekwa Hadharani Mda Si Mrefu. Wasiwasi Wangu Ni Kwamba Watuhumiwa Wengi Kama Maswi Watasafiswa Na Kuonekana Hawakuhusika Kwenye Sakata La Escrow, Hii Ni Kwasababu Werema Alishasema Ahukumiwe Yeye Kwani Ndiye Alisababisha Hao Wengine Waingie Kwenye Kashfa Hiyo.. Yangu Macho, Mtanikumbuka.!
==========================

Chanzo:Nipashe

Tutakukumbuka kwa lipi jema. kinachotakiwa haki itendeke na si majungu kwa baadhi ya watu.
 
Back
Top Bottom