martin mwamlima
Senior Member
- Oct 31, 2013
- 158
- 47
.... Tatizo Langu Ni Kwamba, Maswi Atalindwa Tu.
Ni kweli ndio kazi ya sheria kulinda wenye haki
.... Tatizo Langu Ni Kwamba, Maswi Atalindwa Tu.
Sijawahi kuona alipohusika maswi hata chembe alisukiwa zengwe na wanasiasa tu pamoja na mafisadi.
.... Wadau, Ombeni Sefue Amesema Uchunguzi Wa Kamati Ya Maadili Ya Uma Dhidi Ya Kina Maswi Umekamilika. Ripoti Itawekwa Hadharani Mda Si Mrefu. Wasiwasi Wangu Ni Kwamba Watuhumiwa Wengi Kama Maswi Watasafiswa Na Kuonekana Hawakuhusika Kwenye Sakata La Escrow, Hii Ni Kwasababu Werema Alishasema Ahukumiwe Yeye Kwani Ndiye Alisababisha Hao Wengine Waingie Kwenye Kashfa Hiyo.. Yangu Macho, Mtanikumbuka.!
==========================
Chanzo:Nipashe
Mkuu unayo report utupatie hapa. Usiogope ule mswada bado haujawa sheria
Sawa lakini fanya subira; ripoti ile bado ni nyaraka za serikali!
kusimamishwa maswi kulifanywa kimakosa, rejea barua alizoandika juu ya kuomba ushauri kwa AG kuhusu fedha zilizokuwa kwenye account ya Tegeta escrow na kujibiwa na barua toka kwa AG kuwa aruhusu fedha, nadhani akirudishwa atasukuma mbele gurudumu la Maendeleo hapo wizarani..... Wadau, Ombeni Sefue Amesema Uchunguzi Wa Kamati Ya Maadili Ya Uma Dhidi Ya Kina Maswi Umekamilika. Ripoti Itawekwa Hadharani Mda Si Mrefu. Wasiwasi Wangu Ni Kwamba Watuhumiwa Wengi Kama Maswi Watasafiswa Na Kuonekana Hawakuhusika Kwenye Sakata La Escrow, Hii Ni Kwasababu Werema Alishasema Ahukumiwe Yeye Kwani Ndiye Alisababisha Hao Wengine Waingie Kwenye Kashfa Hiyo.. Yangu Macho, Mtanikumbuka.!
==========================
Chanzo:Nipashe