Seduce me.....!!!!

Kesho utasikia anaulizia sijui vumbi la congo

Mara huyo huyo ataulizia kama kweli pweza anasaidi

Huyu huyu atatuuliza afanyeje awe anachelewa kufika mwisho

Huyu huyu ataleta malalamiko kwambo mpenzi wake hatak wakutane kwa sababu ya mambo sio shwari
Halafu kila siku mnalalamika eti nguvu za kiume hazitoshi
 
bas mkuu unapenda kula kama mimi ila mwenzio nimehamia kwenye vya kushemsha zaidi.vya kukaanga especially ngano napika kwa nadra
Mkuu kweli tuko pamoja. Ngano naihusudu kwa kiasi chake ila mostly nyama zoote kama pori au mkuu wa meza ndio mambo yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I guess unaish kwa mazoea mkuu, cant blame ya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…