It is like the whole country is in mourning
Everyone around me is unhappy and worried.
To make things worse there is this unannounced security alert.
It is like the whole country is in mourning
Everyone around me is unhappy and worried.
To make things worse there is this unannounced security alert.
Unapo shusha vifaru wakati wa chaguzi , na baada ya uchaguzi unakusudia nn? Kutisha ? Huko znz hivyo hufahamu , makao ya uchaguzi yalikuaa undersiege ...kama huko huku. Angalau soma soma news .
Mbona mbaggala ubungo hatukuona movemnet za jeshi , polisi walitosha ...nadhani ndio sahahi ila sie wapelekee vifaru wakione cha mtema kuni...
Ungeuliza siku ile ya kufuta uchaguzi kulikua na harakati gani ....haikua Tz...labda ile ni special kwa znz tu.
Tuombe salama.....yapite
Hata nikiona mahali mtu kaweka kitu kama cha pale darajani zanzibar wala sijisumbui kutoa taarifa popote. Hata nione watu wanapanga hayo nitaangalia tu na kuwaache waendelee na yao, hata wasababishe nini.
Kwanza kiherehere cha kazi gani wakati nchi yetu imejikamilisha kupambana na uhalifu!! Kumbuka ina magari mapya 777 ya polisi.
Mkuu nilieleza hapa kuwa hawa jamaa wamenunuliwa wakanipiga ban,Why now days we can not access images in JF, ama na yenyewe imeshanunuliwa na mafisiem
Askari wanalinda usalama wa nchi kwani si ndio kazi yao?hivi utalalamika ukiona madaktari, walimu etc wakifanya kazi yao ipasavyo?
Mkuu nilieleza hapa kuwa hawa jamaa wamenunuliwa wakanipiga ban,
Sasa hivi magroup kibao yameanzishwa whasapp ndo mana unaona watu humu tunaonekana kusalimia tu
Hata watumiaji wa wa mtandao huu wamepungua siku hizi
Ama kweli kila kitu kinafika bei
Safari hii tutapigwa sana na wenye nchi!
Heri kuzuia kuliko kuponya majeraha ya vita.Visiting Zanzibar one would think the country is at war;
the one thousand dollar question is at war with who?
The situation is tense with soldiers and police patrolling the streets
and residents locked in their homes too scared to venture outside.
What is happening in Zanzibar
This is Michenzani, Zanzibar around Karume Flats.
after what was described by foreign observers
as a peaceful election process?
The world needs to be told.
Ndugu hiyo ni kwa Wamarekani sio watanzania.
those are not soldiers, those are field force police. stop magnifying situations. It looks like a lockdown in town, and might been caused by a number of reasons, it could be a terrorist alert, illegal demonstration alert etc. In any orderly society these things are expected at some point.
what is the difference between your photo and the photo below
![]()
You don't need war to have security alert. You must be dumb.
mcheck member anaitwa falcon mombasa humu ni admin kwenye group mojawapo linaitwa jukwaa la siasa updates zote utazipata hukoHeri na mimi niende zangu whatsaup tu. huku naona walishapigiana calculations wanataka shilingi ngapi ili kuufifisha mtandao na wao wakafika bei. nahisi kwanza wanatushangaa kwamba pamoja na kutufitini kote huku bado tumo tu. hebu ni PM group moja wapo na mimi nihamiepo huko.
Mkuu hii video wanaiondoa sasa hivi utadhani wanalipwa na familia ya mkuluKwahiyo walikuwa tayari wanajua wameshaweka kura 8mil za ushindi,,,au tuseme huyu jamaa ni mgannga wa jadi alikuwa na uwezo wa kutabiri kura watakazopata CCM