Secretary anahitajika haraka arusha

Secretary anahitajika haraka arusha

Mkuu kuna mmoja alikuwa anatafuta kazi hiyo ofisini kwangu, Mungu akipenda kesho nitampigia kama bado yuko available nitakupigia kukujulisha.
 
Jinsia gani. Na keshapatikana au bado? Mi ninae wa kike yuko musoma km vip tuwasiliane
 
Sawa mkuu,itakuwa vizuri....will meet kesho...
 
Jinsia gani. Na keshapatikana au bado? Mi ninae wa kike yuko musoma km vip tuwasiliane
Ingekuwa vyema kama angekuwa wa kike mkuu....umri si umeona???atuandikie
 
Jinsia gani. Na keshapatikana au bado? Mi ninae wa kike yuko musoma km vip tuwasiliane

Kaka umeshampata secretary. Kwan mke wangu amesomea usecretarial kmaliza tbr mwaka jana.anatafuta kazi
 
Back
Top Bottom