Mkuu,hivii,Mungu wa freemasons ndiye Mungu wa christians na muslims,i.e Lucifa ndiye ALLAH na GOD???,kama sio basi common bond kupitia miungu yao haifanani hivyo basi,hawaamini mungu mmoja
Nilichosema hapa ni kwamba, ili kuwa Freemason, inabidi uamini katika mungu wa aina fulani.
Kama mungu huyo ni Allah, Jehovah, Lucifer etc, hilo ni swali la upili, si swali la msingi.
Swali la msingi ni kwamba unaamini mungu?
Mimi kama Atheist siamini mungu yeyote. Allah, Jehovah, Lucifer etc.
Kwa hiyo, nashindwa kukidhi mahitaji ya swali la msingi kabisa la kuwa Fremason. Kitu ambacho kwa Mkristo au Muislamu si kweli. Wakeisto na Waislamu hawashindwi kukidhi mahitaji ya msingi kabisa ya kuwa Freemason. Hata kama Freemasonry ni kumuabudu shetani -something I dispute below-, kumshawishi mtu anayeamini katika kuwapo kwa mungu na shetani aache kumuabudu mungu na amuabudu shetani ni rahisi kuliko kumshawishi mtu ambaye hakubaki kuwapo kwa mungu wala shetani.
Wakristo na Waislam wanaoamini katika mungu wako karibu na Freemasons kuliko mimi ambaye siamini katika mungu yeyote.
Mimi nikituma application ya kuwa Freemason nakuwa disqualified kwenye swali la kwanza tu, unaamini katika kuwepo kwa mungu? Nikijibu siamini, naambiwa out, hatukutaki.
Wakristo na Waislamu wanapasi hili swali. Kama kuna disqualification katika mungu gani itakuja baadaye. And the notion kwamba Wanaoamini mungu wa Wakristo na Waislamu hawawezi kuwa Freemasons inatokana na kutokuwa na elimu ya msingi kuhusu Freemasonry tu. Moja ya malengo ya Freemasons ni kujumuisha dini zote zinazoamini katika mungu chini ya society moja, ndiyo maana swali lao la msingi ni kama unaamini mungu. Ukishaamini mungu tu, wanaweza kufanya kazi na wewe kwa kulingana na mazingira. Usipoamini mungu hawana hata pa kuanzia, unakuwa disqualifued by axiomatic principles.
Tunaona hii habari ya kwamba Freemasons wanaamini katika Lucifer ni myth ambayo inatokana na kukosa habari basic kuhusiana na Freemasons. Freemasons ni secret society lakini kuna mambo ya msingi kuhusu Freemasoms yanajulikana.
I suggest you pick up a copy of John J Robinsons "Born in Blood : The Lost Secrets of Freemasonry" which I immensely enjoyed.
Additionaly, you may want to check out the section that deal with Harry Truman's initiation into Freemasonry in David McCullough's Pulitzer winning Magnum Opus biography "Truman", one of the best biographies of a United States president, which I also enjoyed immensely.
Tatizo watu hatusomi hata the basics, lakini tunarukia kuandika.
Kwa kila neno moja unaloandika, hakikisha umesoma maneno mia moja kutoka kwenye sources za kuaminika.
Cc
EMT