Secret of money.( Siri ya pesa)

Secret of money.( Siri ya pesa)

Mende mdudu

Senior Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
197
Reaction score
405
Kwa nn tajiri anaendelea kua tajiri na maskini anaendelea kua maskini.

1- Saving (Kuhifadhi)
Tajiri ataweka ili kizidi kuongezeka, na afanye jambo lingne zaid ya anacho fanya kama biashra afungue nyingne. Maskini akipata anatumiq tu anajua kesho akiingia town atapata tena.

2-Fear of being broke ( tajiri anaogopa kurud ktk umasikini)
Uwezi kumuona tajiri anafanya vitu kuwaanisha watu kua ana hera anaogopa maisha alio pitia kurud, ila maskini akipata pesa mtaa mzima utamtambua kua anazo.

3-High expenditure than revenue (Matumizi makubwa kuliko unacho kipata)
Tajiri kamwe hawezi kutumia zaid ya anacho kipata, na ukiona anaweka mzigo sehemu tambua kua ana uwakika pesa yake itarudi mara mbili yake. Ila maskini anatumia zaid na kuacha madeni juu ikipata tena alipe madeni.

4-Investment.( Uwekezaji)
Tajiri pesa yake atawekeza kwenye assets, kununua viwanja ,majumba ya kupangisha, kununua hisa kwenye kampuni, ilq maskini machaguo ya kuweka pesa yake kama hakuoa ndo ataoa, kama kaoa ataongeza mke wa pili. Chagua kitu sahihi cha kuweka pesa yako.

5-Comfort zone ( ukawaida ,normal life)
Una amka saa mbili unaenda mjini unarud umemaliza unacheza bao, kama unaweza kurud saa nane kutoka kazii kwa ule mda tafuta kitu kingne cha kukuingizia kipato usilizike tu go above your limit niggah.

6Choose your cycle wisely ( chagua kwa makini watu wanao kuzunguka)
Ukiwa kila siku una spend mda wako na watu ambao awawezi kukupa challenge yoyote au idea yoyote ya maisha sahau kua tajiri zaid kila siku wana kuomba wew tu hela. Mtu awez kukupa ela basi aweze kukupa ata idea awe na uchungu na ela yako sio naitumua tu. Akwambia ata kuna kiwanja sehem kinauzwa inaonekana baada ya mwaka ule mtaa unachangamka weka pesa pale. Ata kukupa ushaur awez piga chini uo urafiki.
 
Kwa nn tajiri anaendelea kua tajiri na maskini anaendelea kua maskini.

1- Saving (Kuhifadhi)
Tajiri ataweka ili kizidi kuongezeka, na afanye jambo lingne zaid ya anacho fanya kama biashra afungue nyingne. Maskini akipata anatumiq tu anajua kesho akiingia town atapata tena.

2-Fear of being broke ( tajiri anaogopa kurud ktk umasikini)
Uwezi kumuona tajiri anafanya vitu kuwaanisha watu kua ana hera anaogopa maisha alio pitia kurud, ila maskini akipata pesa mtaa mzima utamtambua kua anazo.

3-High expenditure than revenue (Matumizi makubwa kuliko unacho kipata)
Tajiri kamwe hawezi kutumia zaid ya anacho kipata, na ukiona anaweka mzigo sehemu tambua kua ana uwakika pesa yake itarudi mara mbili yake. Ila maskini anatumia zaid na kuacha madeni juu ikipata tena alipe madeni.

4-Investment.( Uwekezaji)
Tajiri pesa yake atawekeza kwenye assets, kununua viwanja ,majumba ya kupangisha, kununua hisa kwenye kampuni, ilq maskini machaguo ya kuweka pesa yake kama hakuoa ndo ataoa, kama kaoa ataongeza mke wa pili. Chagua kitu sahihi cha kuweka pesa yako.

5-Comfort zone ( ukawaida ,normal life)
Una amka saa mbili unaenda mjini unarud umemaliza unacheza bao, kama unaweza kurud saa nane kutoka kazii kwa ule mda tafuta kitu kingne cha kukuingizia kipato usilizike tu go above your limit niggah.

6Choose your cycle wisely ( chagua kwa makini watu wanao kuzunguka)
Ukiwa kila siku una spend mda wako na watu ambao awawezi kukupa challenge yoyote au idea yoyote ya maisha sahau kua tajiri zaid kila siku wana kuomba wew tu hela. Mtu awez kukupa ela basi aweze kukupa ata idea awe na uchungu na ela yako sio naitumua tu. Akwambia ata kuba kiwanja sehem kinauzwa inaonekana baada ya mwaka ule mtaa unachangamka weka pesa pale. Ata kukupa ushaur awez piga chini uo urafiki.
Hizo ni kelele tu pesa kama ipo ipo kama haipo haipo tu, hizo formular zako ni za kawaida sanaa.
 
Back
Top Bottom