halafu mke wa mtu! hiyo ofice inaitaji mabachelors tu mi naonaDuh!...hii ni full tamthilia ya wafilipino...
advance ofisi gani ambayo haina maadili...eti mtu akikupenda anajientroduce kwa kushow macare....is it applicable hata kwa walio ndoani au ni kwa waseja pekee?
(only ts allowed kama ni moja ya majukumu yenu ya kazi vinginevyo?????????)...hiyo uliyotuonesha hapo sio sharing iz caring among co-workers imeenda maili nyingi zaidi na ofisi inayoruhusu mambo hayo haiwezi kuitwa advanced ofisi....
Ts either tamthilia au mtongozo umeupamba sana ili kuupa uhalali.....ukweli unaujua mwenyewe.
Hizo swagger zake.....eti umefanana na dada yke lol???labda na hv umeoneshwa picha ukajiona kama ww basi umeingiwa na imani hyo........wanaume wana mbinu ukae ukijua!!!
mkunde my dear usipende kuintatein kila kitu maishani! wewe ni mke wa mtu una mume na mtoto..haya maisha ya matongozo ulishatoka huko..labda uniambie kitu upo tayari kumdate mtu! wanaume ni watu wa ajabu huyo mbaba hana adabu hata tano...mke wa mtu unaweza kumfanyia huo udaku kweli ooh my sister my sister kama ana dada aliepotea akatoe tangazo kipindi cha bango tbc one1! pls kimbia maisha ni haya haya atakumega hapo atatangaza ofisi nzima ..yatafika kwa mumeo na jamaaa utabaki alone hujui pa kutokea!I know that am married and I have a kid at home. What am keen of is to make sure that I dont fall between the trap, I understand ur worries mamie
ahaa uje siku hizi sijui nipo wapi?bora mimi na wewe tuendeleze tu kile chama cha ma barchelor wewe utakua ni katibu ,mimi mwenyekiti
yeah! kaka na dada katika jina la bwana, mwaweza kuishi hivyo na mengine yakafuata baadae!
he! kumbe ni mke wamtu, kwanini hukumwambia huyo msiri?
I call it love.
I know my dear ni kweli the passport size si yangu but we look alike na hiyo passport size sidhani kama atakuwa amefanya manuva hapo kwenye picha. Nachokodolea macho tuu nisidondokee kwenye hiyo mitego aliyoweka ambayo mie sikuitizama sana nilishangazwa na jinsi nilivofanana na picha ya huyo dada yake ndo kinachonifanya nizidi kushangaa, japo sitamani kukutana na familia yao kujua undani wao. I'll just let it go.
mkunde my dear usipende kuintatein kila kitu maishani! wewe ni mke wa mtu una mume na mtoto..haya maisha ya matongozo ulishatoka huko..labda uniambie kitu upo tayari kumdate mtu! wanaume ni watu wa ajabu huyo mbaba hana adabu hata tano...mke wa mtu unaweza kumfanyia huo udaku kweli ooh my sister my sister kama ana dada aliepotea akatoe tangazo kipindi cha bango tbc one1! pls kimbia maisha ni haya haya atakumega hapo atatangaza ofisi nzima ..yatafika kwa mumeo na jamaaa utabaki alone hujui pa kutokea!
Hana lolote huyo ma dear......huenda yeye ndo kitombi cha hyo ofc na amewagonga wengi.Sasa wanataka na ww utumbukie kwenye aibu hiyo.....mwambie akuheshimu kama dada yake aliyepotea that's all
asubiri tu siku atakayopigwa na dushelele
chezea wanaume weye
kwani huna baba??kapimeni DNA
It wont happen, I do not take out my pant to any man who talk to me, chezeiya wanaume hamna lolote suruali tuu hiyo hata mie navaa na ina zipu pia.
na iwe ivyo kama asemavyo ! na huwa inawezekana ni wewe tu kuwa makini na kutomwekea mazingira ya kukupenda kimapenzi.......
Mpaka hapo atakapoamua kubadili gia,kwa sasa tuendelee tu kuamini kuwa amemfananisha na dada yake aliyetokomea!!
Mkunde Original,
Acha fix bana we bishost.......
wewe umetongozwa na huyo mkaka,
sema unatuletea swaga zako tu hapa.....
kama vipi, we msikilize tu....ndo mapito yenyewe hayo!
ahahaa mkunde kweli kamove ndo tunamvuta hapaSmile nimeupenda ujumbe wako.......
Ila Mkunde, sidhani kama yupo upande wako,
She has already moved some extra miles......lol...
mhhhh mtu ashakolea hapo,wewe usishangae kutongozwa unashangaa undugu?kweli hii imekaa sawa wachambuzi wenzangu?au haya tunayoletewa hapa ni manyoyaa...kuku kashaliwa......................!!
Ehhh..... back tu Mkunde original swali muhimu vipi umeshamkubalia au ndo unamfikiria??