Secret deals: Govt dares investors

Secret deals: Govt dares investors

Ahsante sana hapo kwenye rangi nakubaliana nawe kabisa ila badala ya kuwa na mabadiliko ambayo yatasababisha umwagaji wa damu inawezekana kabisa kuwa na mabadiliko ambayo hata tone moja la damu halitapotea. Hayo ndio mabadiliko ambayo Watanzania wengi tungependa kuyaona. Haya Shukrani kwa uwepo wako mie nasepa sasa siku na kazi njema katika kulijenga Taifa changa/zee la Tanzania

Yup umenikumbusha huu msemo winners never quit and quitters never win so tuwe na imani mambo yatakua sawa kwani hakuna mwenye hati miliki ya kuingoza nchi yetu anytime changes can happen na vizuri tukajiandaa kwa hilo

No I am not missing any point. Aliyesema Kikwete anatakiwa awe na jibu la kila kitu nani? Kikwete si ana washauri!? Hawa washauri wake wanashindwa kusoma alama za nyakati kuhusu utendaji mbovu wa Serikali mpaka Wabunge wamshinikize kwamba Waziri fulani na fulani waondolewe kwa sababu ni wazembe/wezi/mafisadi? Kuna faida gani basi Rais kuwa na washauri ambao wanachapa usingizi tu huku nchi ikienda mrama!?

Acha upumbavu bhanaaa hebu weka ushahidi hapa wa mimi kushobokea maadui wa Tanzania. Usikurupuke na kuropoka unachoandika. Kama huna la maana la kuandika kaa kimya badala ya kuanza kuandika uongo.

You are missing the point entirely haya matatizo chanzo chake ni zama za kale JK kafichua changamoto na awezi kuwa na majibu ya kila kitu.

Sisi kama raia ata kama atupendezewi tunatakiwa kupigana au kutoa mapendekezo, hivi kwa akili zako timamu ni kundi gani la wananchi lililo elimika leo ni wazee au ni vijana na ni nani aliye responsible, ni wakati gani serikari imeruhusu kukosolewa na nani ni responsible, in short ni yupi alieruhusu upande wa pili wa hoja kwakujua yeye awezi kuwa kila mahala?

Ukipata jibu utajuuwa wajibu wako wa kuikosoa serikari ata kama uizimi CCM ni haki yako, lakini hizi tabia za kushobokea ata maadui wa tanzania kisa kukosa hoja zina chosa kama hilo gazetu la citizens na bado linaachwa. Tanzania ni waeshimu wa mawazo ya kujenga lakini aina maana raia wazalendo tuendelee kucheka wapuuzi kama nyie ambao ilimradi mjenga hoja zisizo na maslahi ya taifa wakati mmepewa nafasi ya ku-counter argue freely.
 
No I am not missing any point. Aliyesema Kikwete anatakiwa awe na jibu la kila kitu nani? Kikwete si ana washauri!? Hawa washauri wake wanashindwa kusoma alama za nyakati kuhusu utendaji mbovu wa Serikali mpaka Wabunge wamshinikize kwamba Waziri fulani na fulani waondolewe kwa sababu ni wazembe/wezi/mafisadi? Kuna faida gani basi Rais kuwa na washauri ambao wanachapa usingizi tu huku nchi ikienda mrama!?

Acha upumbavu bhanaaa hebu weka ushahidi hapa wa mimi kushobokea maadui wa Tanzania. Usikurupuke na kuropoka unachoandika. Kama huna la maana la kuandika kaa kimya badala ya kuanza kuandika uongo.

Clearly you are dumb, hivi unadhani matatizo ya administration ni ya kuripotiwa tu.

Kinachotakiwa hapo ni namna ya kuboresha management na kuna wahusika luluki in the name of regulators .

Kabla ujaiponda serikari lazima ujue sheria zote za usimamizi na overseeing watchdogs hawa si wafanyakazi wa chama cha siasa ndio wanaotakiwa kuishauri serikari how to improve ministiries management.

JK ame expose everything sisi raia au upinzani tunatakiwa kusema hapa mnakosea kama wao hawaoni lakini si kutetea eti wengine wanaotumia hizo weaknesses to their advantages huo sasa ndio upuuzi na wewe huko upande huo mara nyingi.
 
Tized na BAK jibu la uozo huu ni sanduku la kura!!
Viongozi wazuri wapo wa kuwaadabisha wezi, katiba nzuri itawabana!!
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi lol!!!! Naona wewe hamnazo kweli. Rais hata kufukuza kazi wezi walioiba mabilioni ya pesa za walipa kodi anashindwa. Unadhani rais kama huyu ataweza kuboresha management kwa namna yoyote ile!? Amekuwa madarakani miaka tisa sasa na tangu aingie ni matatizo tu mwanzo mwisho sasa kipi kinamchomshinda Kikwete kuboresha hiyo management? Inakuwaje Kinana na Nape wayaone matatizo ya kiutendaji ndani ya baraza la mawaziri na Kikwete ashindwe kuyaona!? Mpaka wamshinikize!?

Aisee naona unaandika upumbavu wa hali ya juu ambao hata kusoma haufai, endelea na upumbavu wako wa kukumbatia wahuni na wezi ambao kuongoza nchi kumewashinda na kuna ushahidi wa kutosha tu tangu 2005 hadi hii leo.

Kazi ya Rais wa nchi si kuexpose matatizo yaliyopo bali ni kufanya maamuzi ya kuyakabili matatizo hayo na kuhakikisha hayarudiwi tena na wale ambao wanasababisha matatizo hayo kufukuzwa kazi na kuchukuliwa hatua muafaka zikiwemo kupandishwa kizimbani. Hili Kikwete limemshinda miaka nenda miaka rudi. Kumbuka EPA, Kagoda, Meremera, Rada, Richmond/Dowans, Ndege ya Rais, mikataba mbali mbali ya rasilimali za nchi, utoroshwaji wa wanyama, Escrow n.k. matatizo yote haya Kikwete kama Rais ameshindwa kuchukua hatua muafaka mpaka inafikia nchi za wafadhili zinamshinikiza kwamba chukua hatua muafaka vinginevyo pesa zetu chungu nzima ambazo tulipanga kuzitoa kama msaada kwa nchi yako hatutazitoa.

BAK mkuu hata Asumpta Mshama alisema hivyo hivyo bungeni akalazimishwa kufuta kauli yake, akasalimu amri!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Nani anaweza kuwashitaki hao unaowaita Mapanya na Mafisi?Mkuu BAK? Kashindwa Rais hizo kesi kuna Mtu mwengine mkubwa hapo Tanzania Zaidi ya Rais? na ameshindwa hizo kesi kuwafunga hao wahusika ataweza nani hapo Tanzania kuwafunga hao Unaowaita Mapanya na Mafisi? Kesi ya Tumbili na nyani unaweza kumpa mbuzi ili ahukumu?

We kilaza raisi anauwezo wa kuwajinisha mafisadi kwasababu yeye ndio kawateuwa. Tatizo rais mwenyewe anafaidika na huu ufisadi na anawalinda mafisadi huku akijifanya kulalamika kwa raia. Bunge nalo linauwezo wa kumlazimisha rais na serekali yake iweke mikataba wazi kwa kupiga vote of no confidence na rais au impeach raisi. Tatizo kuna mibunge mingi ya CCM iko bungeni kuitetea serekali badala ya kuitetea nchi.
 
Kwi kwi kwi lol!!!! Naona wewe hamnazo kweli. Rais hata kufukuza kazi wezi walioiba mabilioni ya pesa za walipa kodi anashindwa. Unadhani rais kama huyu ataweza kuboresha management kwa namna yoyote ile!? Amekuwa madarakani miaka tisa sasa na tangu aingie ni matatizo tu mwanzo mwisho sasa kipi kinamchomshinda Kikwete kuboresha hiyo management? Inakuwaje Kinana na Nape wayaone matatizo ya kiutendaji ndani ya baraza la mawaziri na Kikwete ashindwe kuyaona!? Mpaka wamshinikize!?

Aisee naona unaandika upumbavu wa hali ya juu ambao hata kusoma haufai, endelea na upumbavu wako wa kukumbatia wahuni na wezi ambao kuongoza nchi kumewashinda na kuna ushahidi wa kutosha tu tangu 2005 hadi hii leo.

Kazi ya Rais wa nchi si kuexpose matatizo yaliyopo bali ni kufanya maamuzi ya kuyakabili matatizo hayo na kuhakikisha hayarudiwi tena na wale ambao wanasababisha matatizo hayo kufukuzwa kazi na kuchukuliwa hatua muafaka zikiwemo kupandishwa kizimbani. Hili Kikwete limemshinda miaka nenda miaka rudi. Kumbuka EPA, Kagoda, Meremera, Rada, Richmond/Dowans, Ndege ya Rais, mikataba mbali mbali ya rasilimali za nchi, utoroshwaji wa wanyama, Escrow n.k. matatizo yote haya Kikwete kama Rais ameshindwa kuchukua hatua muafaka mpaka inafikia nchi za wafadhili zinamshinikiza kwamba chukua hatua muafaka vinginevyo pesa zetu chungu nzima ambazo tulipanga kuzitoa kama msaada kwa nchi yako hatutazitoa.

Ndio tatizo lenu you just bogus people talks about matter you are not informed about (si m-google kama rahisi); serikari aziendeshwi na mtu mmoja kuna delegated responsibilities ata wakosoaji ni kwa sababu wameona the final output was not desired by party goals.

Kwa maana hiyo hayo maswala yanahitaji wataalamu wa administration kukosoa na ilitakiwa kutoka upinzani au hata hao wakosoaji kusema fulani afai is not going to solve the problem you are suppose to say what is wrong with HRM na muusika ni katibu wa wizara unajua hilo swala na sio waziri kuna maelezo mengi sina muda na vilaza this days.

In short it is a long thing i doubt you know anything about management even styles required or else usinge toa huo utumbo wa kumlaumu raisi na kama kweli unaamini upinzani wanaweza given the opportunity tungeona viashiria vya hoja au hata alternatives. Siasa sio rahisi mjue nyie waropokaji kama mnavyodhani na msidhani tunatetea upande kwa maslahi wengine swala ni national interest tu in relation kwa zimwi ulijualo, kwa maana hiyo tunaposema JK katoa uchafu wa chini ya Carpet kuna hoja ndefu sana na zenye maelezo lakini si ya kujibizana vilaza.
 
Ahsante sana hapo kwenye rangi nakubaliana nawe kabisa ila badala ya kuwa na mabadiliko ambayo yatasababisha umwagaji wa damu inawezekana kabisa kuwa na mabadiliko ambayo hata tone moja la damu halitapotea. Hayo ndio mabadiliko ambayo Watanzania wengi tungependa kuyaona. Haya Shukrani kwa uwepo wako mie nasepa sasa siku na kazi njema katika kulijenga Taifa changa/zee la Tanzania

well this country is so funny, there is no pilicy or laws which says the contracts in gas, mining should be confidential but ministers have been quoted several times that the investment contrcts are confidential!!!
Investor never request confidentiality according to their own statement; that means the government used to beg the investors to keep the contracts secrecy; Now whats behind this game of secrecy as both men denied their direct inforcement in confidential contracts?????
 
Duh!!!! This is a different league, your ability to contribute valid points on this discussion is very low and for your information you don't know anything about management. Please refrain from pretending that you're one of the gurus in management.

Ndio tatizo lenu you just bogus people talks about matter you are not informed about (si m-google kama rahisi); serikari aziendeshwi na mtu mmoja kuna delegated responsibilities ata wakosoaji ni kwa sababu wameona the final output was not desired by party goals.

Kwa maana hiyo hayo maswala yanahitaji wataalamu wa administration kukosoa na ilitakiwa kutoka upinzani au hata hao wakosoaji kusema fulani afai is not going to solve the problem you are suppose to say what is wrong with HRM na muusika ni katibu wa wizara unajua hilo swala na sio waziri kuna maelezo mengi sina muda na vilaza this days.

In short it is a long thing i doubt you know anything about management even styles required or else usinge toa huo utumbo wa kumlaumu raisi na kama kweli unaamini upinzani wanaweza given the opportunity tungeona viashiria vya hoja au hata alternatives. Siasa sio rahisi mjue nyie waropokaji kama mnavyodhani na msidhani tunatetea upande kwa maslahi wengine swala ni national interest tu in relation kwa zimwi ulijualo, kwa maana hiyo tunaposema JK katoa uchafu wa chini ya Carpet kuna hoja ndefu sana na zenye maelezo lakini si ya kujibizana vilaza.
 
Clearly you are dumb, hivi unadhani matatizo ya administration ni ya kuripotiwa tu.

Kinachotakiwa hapo ni namna ya kuboresha management na kuna wahusika luluki in the name of regulators .

Kabla ujaiponda serikari lazima ujue sheria zote za usimamizi na overseeing watchdogs hawa si wafanyakazi wa chama cha siasa ndio wanaotakiwa kuishauri serikari how to improve ministiries management.

JK ame expose everything sisi raia au upinzani tunatakiwa kusema hapa mnakosea kama wao hawaoni lakini si kutetea eti wengine wanaotumia hizo weaknesses to their advantages huo sasa ndio upuuzi na wewe huko upande huo mara nyingi.

What are you trying to defend here? the issue here is who is behind these so called secrecy in investment contracts? who is the benefitiary of its confidentiality
The investors denied their inforcement as well as the government but ministers including muhongo in the last parliamentary sessions repeated the same thing ''investment contracts are confidential'' WHY AND FOR WHAT?? WE NEED OPENNESS ON UTILIZATION OF OUR NATURAL RESOURCES
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Duh!!!! This is a different league, your ability to contribute valid points on this discussion is very low and for your information you don't know anything about management. Please refrain from pretending that you're one of the gurus in management.
I am the real deal 'money' try me si wenzako wanaangalia kila nnachofungua kwenye computer yangu.
 
What are you trying to defend here? the issue here is who is behind these so called secrecy in investment contracts? who is the benefitiary of its confidentiality
The investors denied their inforcement as well as the government but ministers including muhongo in the last parliamentary sessions repeated the same thing ''investment contracts are confidential'' WHY AND FOR WHAT?? WE NEED OPENNESS ON UTILIZATION OF OUR NATURAL RESOURCES
Upande wa mikataba niko na hoja ulizozileta kwa sababu nasimama na maslahi/maendeleo, isitoshe thats how people become accountable.

Hata kwenye escrow niko upande wa kusema kama kuna yeyote aliyeshiriki kwenye maamuzi na kapewa hela afukuzwe ingawa siamini kama kuna sheria imevunjwa, that is to say siamini kama Tibaijuka au maaskofu wana hatia. Lakini wengine wote ambao wapo kwenye chain ya direct or indirect influence za awali ama karibuni awafai kama wamepata financial gain kwa sababu ya conflict of interest being obvious. As much as I want Muhongo to remain.
 
Nakubaliana sana na wewe Mtumishi Wetu. Na kazi hii tumeshaanza kuifanya, tunasubiria kujiandikisha sasa tukaimailizie kwa ushindi mkubwa. Salamu zetu wamezipata.
Tized na BAK jibu la uozo huu ni sanduku la kura!!
Viongozi wazuri wapo wa kuwaadabisha wezi, katiba nzuri itawabana!!
 
Last edited by a moderator:
Dogo kakojoe ulale.

You are missing the point entirely haya matatizo chanzo chake ni zama za kale uongozi wa sasa umefichua changamoto na hawana majibu ya kila kitu.

Sisi kama raia ata kama atupendezewi tunatakiwa kupigana au kutoa mapendekezo, hivi kwa akili zako timamu ni kundi gani la wananchi lililo elimika leo ni wazee au ni vijana na ni nani aliye responsible, ni wakati gani serikari imeruhusu kukosolewa na nani ni responsible, in short ni yupi alieruhusu upande wa pili wa hoja kwakujua yeye awezi kuwa kila mahala?

Ukipata jibu utajuwa wajibu wako wa kuikosoa serikari unasimama wapi ata kama uizimii CCM ni haki yako, lakini hizi tabia za kushobokea ata maadui wa tanzania kisa kukosa hoja zina chosha kama hilo gazeti la citizens na bado linaachwa kielelezo ni jinsi gani serikari inavyoamini upande wa pili.

Serikari ya Tanzania ni waeshimu wa mawazo ya kujenga lakini aina maana raia wazalendo tuendelee kuchekea wapuuzi kama nyie ambao ilimradi mjenge hoja zisizo na maslahi ya taifa wakati mmepewa nafasi ya ku-counter argue freely on the interest of the nation.
 
Umejichomeka kwenye mitutunduri bila kujua, sasa unashindwa kujinasua.
So you think you are informed enough?
Dude think again.
Sijui final output
sijui not desired by pary goal.!!???

Dogo Hii siyo paper ya Third year University

Ndio tatizo lenu you just bogus people talks about matter you are not informed about (si m-google kama rahisi); serikari aziendeshwi na mtu mmoja kuna delegated responsibilities ata wakosoaji ni kwa sababu wameona the final output was not desired by party goals.

Kwa maana hiyo hayo maswala yanahitaji wataalamu wa administration kukosoa na ilitakiwa kutoka upinzani au hata hao wakosoaji kusema fulani afai is not going to solve the problem you are suppose to say what is wrong with HRM na muusika ni katibu wa wizara unajua hilo swala na sio waziri kuna maelezo mengi sina muda na vilaza this days.

In short it is a long thing i doubt you know anything about management even styles required or else usinge toa huo utumbo wa kumlaumu raisi na kama kweli unaamini upinzani wanaweza given the opportunity tungeona viashiria vya hoja au hata alternatives. Siasa sio rahisi mjue nyie waropokaji kama mnavyodhani na msidhani tunatetea upande kwa maslahi wengine swala ni national interest tu in relation kwa zimwi ulijualo, kwa maana hiyo tunaposema JK katoa uchafu wa chini ya Carpet kuna hoja ndefu sana na zenye maelezo lakini si ya kujibizana vilaza.
 
Hii nchi hatari sana yaani jitu zima na familia linaiba pesa za walipa kodi halafu linakuja tena bila aibu na kubwabwaja uharo pathetic! Hii Government ya m k w e r e ina matatizo makubwa sana. People who aren't ashamed of their bad behaviours towards the disadvantaged.
 
Umejichomeka kwenye mitutunduri bila kujua, sasa unashindwa kujinasua.
Dude think again.
Sijui final output
sijui not desired by pary goal.!!???

Dogo Hii siyo paper ya Third year University
Vitu vinatakiwa kuwa vimepangwa kuanzia juu mpaka chini kiutelezaji na kuna wahusika maalum wa hizo shughuli na pengine mbinu tofauti if you know anything about HRM. Sasa hapo kuna mambo mengi ambayo raisi wa nchi kwa yeye kujua where is the problem it is impossible. Isitoshe hoja yangu inahusu wizara zinahusika na utekelezaji wa ilani ya chama tawala kama hujui for the most part. Kwa maana hiyo malalamiko ya Kinana ni kwamba sera aifakii watu kama matarajio ya chama, that being the concern unarudi kwenye issue za managment.

Somo refu kwako.

By the way naomba kutumia nafasi hii kumuomba radhi bwana aminiusiamini kama nitakuwa nimemkosea asubuhi ya jana na tusi kwenye post yangu by the way nime edit.

Ombi kwa wahusika wa forum.

Jukwaa la siasa linatembelewa na watu wengi na rika nyingi sana atujui tunaongea na akina nani na wala wana umri gani. Matusi kwa kweli even in disguise si swala linalopendeza wengine ingawa atupendi kutukana kuna wakati tunalazimishwa nadhani ingekuwa busara sana kama ingewekwa standard sasa ya kutoa ban kwa tusi lolote kwenye jukwaa la siasa tu, huko kwengine sawa kama wanataka kutukanana.

Sie wingine wakati tunalelewa wazazi wetu walituambia wao kama binadamu lazima watakuwa na makosa pia kwenye malezi yao kwetu, lakini lazima tujue tone ya kuongea nayo tunapojaribu kupinga na maneno tunayo chagua kwa hivyo tunapotukana huwa tunasumbuliwa sana baadae kwa kutokujua umri wa tuliyemtukana si maadili yetu kabisa kama jamii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom