Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,222
Mkuu unafikiri hatujiandikishi basi . Tunajiandikisha lkn kama ulivyoona uchaguzi wa serikali za mitaa unafika unakuta jina lako lilishapiga kura hebu niambie bado wa kulaumiwa mwananchi kweli.
Mkuu maana ya uadilifu inatofautiana kati ya mtu na mtu usichukulie maana ile ya kwenye kamusi kwa hiyo rahisi hakukosea jamani.
Akipatikana kiongozi mwenye mapenzi ya kweli na nchi yetu na akizungukwa na viongozi kadhaa waadilifu hapo ndipo tutakapoweza kuanza safari. Lkn mtu huyo yapasa awe jasiri kweli kweli maana kuwanyang'anya watu tonge mdomoni si kazi rahisi. Vijana wangepata elimu sahihi wangesaidia kiasi flani , kwa bahati mbya vijana wengi wamenogewa na huu mfumo wa chukua chako mapema . Imefikia hatua hata ukiwaajiri wanawaza kukuibia tu. Siwalaumu vijana hawa wengi wao wamesoma kipindi cha ombwe la uongozi. Natamani azaliwe sokoine mpyaMkuu tpaul nchi yetu inahitaji mabadiliko makubwa sana ya uongozi ili kuondoa hili ombwe kubwa la kuwa na viongozi ambao uwezo wao wa kuongoza nchi ni SIFURI na pia hawajali kabisa maslahi ya nchi bali wanachojali maslahi yao wenyewe. Naamini mabadiliko haya makubwa ya uongozi kamwe hayawezi kupatikana ndani ya chama cha wahuni.
sote tunataka mabadaliko binafsi nina mashaka na uraia wako. Sijapata kuona mtu aliekosa uzalendo kama wewe yaani ni mnafiki kupitiliza it must be said BAK.
Bado wananchi wanayo nafasi ya kufanya marekebisho kupitia sanduku la kura. Lkn mashaka yangu ni je kweli uhesabuji wa kura utafanywa kwa uadilifu? Napata mashaka haya hasa nikirudi kwenye chaguzi zilizopita kwani kulikua na vikumbo vingi. Sasa iwapo sanduku la kura hatuna imani nalo je nini kifanyike ili sauti ya wananchi iweze kusikika.Rafiki Ablessed ndio sababu hawa wahuni na wezi walifanya kila wawezalo kukataa maoni yaliyokusanywa na Tume ya Warioba kuhusu katiba mpya na kuyachakachua na kuweka maoni yao ya Maintarahamwe na kuyapitisha kwa wizi, vitisho na matusi chungu nzima.
Wanajua fika kwamba maoni ya Watanzania kama yalivyokusanywa na Tume ya Warioba yakipitishwa na hatimaye kuwa katiba ya Tanzania na hivyo kuruhusu kuwa na Tume huru ya uchaguzi ambayo hawa wahuni na mafisadi hawataweza kuiingilia huo ndio utakuwa mwisho wa chama hiki dhalimu nchini.
Akipatikana kiongozi mwenye mapenzi ya kweli na nchi yetu na akizungukwa na viongozi kadhaa waadilifu hapo ndipo tutakapoweza kuanza safari. Lkn mtu huyo yapasa awe jasiri kweli kweli maana kuwanyang'anya watu tonge mdomoni si kazi rahisi. Vijana wangepata elimu sahihi wangesaidia kiasi flani , kwa bahati mbya vijana wengi wamenogewa na huu mfumo wa chukua chako mapema . Imefikia hatua hata ukiwaajiri wanawaza kukuibia tu. Siwalaumu vijana hawa wengi wao wamesoma kipindi cha ombwe la uongozi. Natamani azaliwe sokoine mpya
Bado wananchi wanayo nafasi ya kufanya marekebisho kupitia sanduku la kura. Lkn mashaka yangu ni je kweli uhesabuji wa kura utafanywa kwa uadilifu? Napata mashaka haya hasa nikirudi kwenye chaguzi zilizopita kwani kulikua na vikumbo vingi. Sasa iwapo sanduku la kura hatuna imani nalo je nini kifanyike ili sauti ya wananchi iweze kusikika.
Of course i believe watu waadilifu wapo na uwezekano wa kuisuka nchi vema upo. Mashaka yangu yapo ktk namna ya kumpata je unahisi uchaguzi ujao dosari zitapungua.Rafiki Ablessed, mimi naamini kabisa kiongozi jasiri ambaye ataweka maslahi ya Tanzania na Watanzania anaweza kabisa kupatikana, na kiongozi anapoonyesha msimamo wake tangu mwanzo wa uongozi wake kwamba hataruhusu wahuni, wezi na mafisadi ndani ya Seriklai yake na wale wote watakaotenda kinyume kuwachukulia hatua kali mara moja ikiwemo kuwafukuza kazi, kuwafilisi na hata kuwafungulia mashtaka basi wote watashika adabu na kutenda vile ambavyo mkubwa wao wa kazi anataka, kinyume cha hapo ndipo inakuwa madudu tu ufisadi wa kutisha kila mwaka na katika kila sekta muhimu nchini.
Of course i believe watu waadilifu wapo na uwezekano wa kuisuka nchi vema upo. Mashaka yangu yapo ktk namna ya kumpata je unahisi uchaguzi ujao dosari zitapungua.
Acha unafiki wewe na upumbavu wako!!! Hebu niambie unafiki wangu ni upi? Mpaka wafadhili wanakataa kutoa pesa zao za msaada na nchi kukosa pesa mishahara ya Wafanyakazi wa Serikali shida, mahospitali yanakosa madawa unafiki wangu ni upi!? Kusema kweli kuhusu hii Serikali dhalimu iliyopo madarakani!? Mbona Mwalimu alianza kuikosoa CCM na Serikali ya tatu wakati wa uhai wake? Naye alikuwa mnafiki? Mbona akina Warioba na Butiku na wengine chungu nzima wanaikosoa hii Serikali dhalimu nao ni wanafiki!? Ujinga wako peleka Lumumba.
Nafikir elimu iendelee kutolewa kwa wananchi hasa vijana na ikiwezekana kuwaondolea hofu hasa kwa kuwaambia ukweli yanayoweza kuwapata ktk kutafuta kiongozi muadilifu. Wapite vijijini nako watoe elimu kwani huko ndiko kwenye wapiga kura wengi.
Tatizo lenu ni kupayuka ovyo na kukosa maarifa hivi unadhani kwa akili zako mzungu anafanya kitu bila ya underlying motives, wewe nani upewe hela wakati kwao kuna matatizo. People are gonna use ur weaknesses to exploit you to their advantages it is simple as that au unadahni watu wanajiamini vipi kuweza kuwawekea masharti taifa kama russia na wakijifanya wajuaji wanaishusha thamani ya hela bila ya wao kutegemea.
Msitake kujifanya nyie ndio wenye machungu kiasi kwamba whatever it takes mabadiliko yaje mambo mengine ata ukipata mabadiliko you'd wish you were in ealier position waulize wa Iraq, watakwambia bola Saddam was a devil we knew, au walibya au Syrians. Wafadhili wenyewe wanajuta kuwapa nafasi hao Islamic state. Sasa wewe mtu gani unashabikia tu chochote.
Vitu unavyotaka mengi apewe vitalu bila hata ya kujali uwezo au mapato TPDC
Muungano ufe
Chochote kile CCM iondoke, bila ya kujali stability ya baadae maana ujahakikishiwa
Fulani awe raisi
In short you're reasoning is just primitive na si kwa nia ya utaifa, raia gani wewe usiekuwa mzalendo; kwenyu wapi?
how am I suppose to answer to a vuvuzela jibu hoja ya utaifaNenda kanye we mbwa umeongea ushenzi na uharo mtupu
Unajua stability wewe? Kwahiyo ccm ndio inaweza pekee kutawala hii nchi?
Wewe ndio primitive tena nathani miaka yako 50-70.nyie ndio
Mmeharibu hii nchi washenzi. Dawa inakuja.
Tatizo lenu ni kupayuka ovyo na kukosa maarifa hivi unadhani kwa akili zako mzungu anafanya kitu bila ya underlying motives, wewe nani upewe hela bure bure wakati kwao kuna matatizo. People are gonna use your weaknesses to exploit you to their advantages it is simple as that au unadahni watu wanajiamini vipi kuweza kuwawekea masharti taifa kama russia na wakijifanya wajuaji wanaishusha thamani ya hela bila ya wao kutegemea.
Msitake kujifanya nyie ndio wenye machungu kiasi kwamba whatever it takes mabadiliko yaje mambo mengine ata ukipata mabadiliko you'd wish you were in ealier position waulize wa Iraq, watakwambia bola Saddam was a devil we knew, au walibya au Syrians. Wafadhili wenyewe wanajuta kuwapa nafasi hao Islamic state. Sasa wewe mtu gani unashabikia tu chochote.
- Vitu unavyotetea jinga wewe mengi apewe vitalu bila hata ya kujali uwezo au mapato ya TPDC wala kutotaka kujuanya mbele.
- Muungano ufe
- Chochote kile CCM iondoke, bila ya kujali stability ya baadae maana ujahakikishiwa
- Fulani awe raisi bila ya kutetea uwezo wake
In short you're reasoning is just primitive na si kwa nia ya utaifa, raia gani wewe usiekuwa mzalendo; kwenyu wapi?
Yup umenikumbusha huu msemo winners never quit and quitters never win so tuwe na imani mambo yatakua sawa kwani hakuna mwenye hati miliki ya kuingoza nchi yetu anytime changes can happen na vizuri tukajiandaa kwa hiloMkuu Ablessed ukiangalia haya matokeo ya uchaguzi wa Serikali za mitaa ni wazi kwamba UKAWA pamoja na kuwa ni ushirikiano wa vyama vya upinzani kwa miezi michache lakini wamekuwa na mafanikio makubwa sana ya kushinda katika vijiji vingi nchini ambavyo miaka nenda miaka rudi walioshinda walikuwa ni MACCM tu, hivyo kama wataendelea kushikamana basi wanaweza kabisa kufanya maajabu makubwa kwenye uchaguzi ujao, ila bado tatizo kubwa litakuwa ni hii Tume ya uchaguzi ya MACCM. Hawa watafanya kila wawezalo kuchakachua matokeo ya uchaguzi katika majimbo mengi nchini na hata uchaguzi wa Rais.
You are missing the point entirely haya matatizo chanzo chake ni zama za kale uongozi wa sasa umefichua changamoto na hawana majibu ya kila kitu.Wewe ndo unapayuka hovyo. Matatizo mbali mbali nchini yanayosababishwa na utendaji SIFURU wa Kikwete na Serikali yake hutaoni. Ni mara ngapi ameshinikizwa na Wabunge wa MACCM kuwaondoa Mawaziri mizigo ndani ya Serikali yake? Je baada ya kuwaondoa kulikuwa na ahueni yoyote katika utendaji? Jibu ni HAPANA. Elimu imeanguka kwa kiwango cha kutisha hadi inabidi kuchakachua matokeo ili kupunguza idadi ya waliofeli, miaka nenda miaka rudi maji, umeme, matibabu ni mgogoro. Nchi ina utajiri mkubwa lakini kwa miaka karibu 15 sasa tangu wawekezaji waanze kuvuna utajiri huo mbali mbali nchi haijapiga hatua za kimaendeleo za kuridhisha.
Ajira ni mgogoro, mikataba ya rasilimali za nchi inafichwa kwa wenye mali ambao ni Watanzania. Haya yote wewe huyaoni ila uko tayari kutetea kiongozi ambaye kazi ya kuongoza nchi imemshinda na upo ushahidi wa kutosha kabisa. Kwa taarifa yako wewe unayekumbatia wezi na wahuni ndiye mnafiki na mropokaji.