Secret deals: Govt dares investors

Secret deals: Govt dares investors

Uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapa, halafu kwa uwezo huu finyu wa kufikiri kwa kina nawe unapita huku na kule kujipigia debe kutaka kuingia Ikulu 2015! Hujitambui kabisa bora ukagombee urais wa chama cha magaidi kule uwezo wako mdogo wa kuchanganua mambo kwa kina siyo issue kabisa.

Mbona Mbowe kachukua $2millions na Mnyika $400,000? Pesa hizi wanapiga viongozi wenye ukwasi wa kutosha bora kuwa na kiongozi mwenye hali ya kawaida
 
Kazi ipo hapo ndio maana nikakwambia haiwezekani hapo nyumbani Kumpata Kiongozi Mkuu atakaye washitaki na kuwapeleka Jela hao wewe unao waita akina Mapanya buku na Mafisi Sio rahisi kabisa kwa Tanzania kwisha matatizo ya Ufisadi Labda ateremka Rais toka mbinguni na hiyo itakuwa ni maajabu makubwa.Mkuu BAK

Hata malaika hataweza kubadili kitu ikiwa ataongoza chini ya mfumo uliopo. Tatizo liko kwenye system. Kinachotakiwa ni kuuondoa kabisa na hapo ndipo penye kazi, kwa sababu wananchi wengi bado wamefungwa fahamu zao. Ni kama kumpa panadol mgonjwa wa cancer badala ya kutibu ugonjwa unamuondolea maumivu tu kwa muda mchache na cancer inaendelea kummaliza.
 
Hii Serikali inachekesha sana, sasa jukumu la kuweka wazi mikataba kati ya Serikali na wachukuaji (wenyewe wanawaita wawekezaji) sasa wameachiwa wachukuaji!!! Kwa mfano mkataba kati ya Serikali na Statoil toka Norway wa kuchimba gas ambapo Tanzania itapoteza $55 billion kutokana na utapeli uliofanywa na hao Statoil halafu hao hao Statoil ndio waweke details za mkataba huo hadharani na kutwambia Watanzania angalieni huu mkataba nchi yenu itakosa $55 billion kutokana na kuwepo kwa corrupt officials in your government ambao hawakujali maslahi ya nchi bali maslahi yao binafsi!!! Kweli hawa mafisi na mapanya hata woga hawana.

Mkuu hadi tuje tumpate Musa wetu sijui kama kutakuwa na kitu ...

Mkuu hii nchi sijui ililaaniwa na nani tu!
 
Mkuu Eiyer nadhani akina Mussa tunao Mkuu ila tatizo sasa ni kwamba hawa wahuni wameamua kutumia mabavu kuendelea kubaki madarakani. Angalia mkwa mfano maandamano yao popote pale nchini yanafanyika bila matatizo yoyote yale lakini maandamano ya CHADEMA yanazuiwa kwa nguvu zote kwa kutumia polisi na FFU, mbwa na silaha mbali mbali hata risasi za moto. Angalia zoezi la kupata katiba lilivyoendeshwa kimabavu, matusi, kejeli na kashfa nyingine hata kudanganya kuhusu wingi wa kura ili kupata akidi ya kupitisha uhuni wao. Sasa wanataka jukumu la kuweka hadharani details za mikataba mbali mbali nchini liwe la wachukuaji. Hivi unadhani kweli Mchina au mtu wa Taifa lolote lile ameshasaini mkataba ambao anajua ameupata kwa bei chee kupita kiasi kisha akatoa rushwa kwa wahusika Serikalini kama ahsante yake halafu ageuke tena atwambie Watanzania hawa viongozi wenu ni bomu sana nimeingia mkataba na Serikali yenu kwa bei ya chee sana kisha nimewapa rushwa kama ahsante yao. Mkuu hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho. Utawala huu dhalimu na wa kimabavu nao ipo siku utafika mwisho.

Mkuu hadi tuje tumpate Musa wetu sijui kama kutakuwa na kitu ...

Mkuu hii nchi sijui ililaaniwa na nani tu!
 
Last edited by a moderator:
Mbona tunawaona wanaenda bila nyumba wala senti tano!! ni ulimbukeni!! Nyerere mwenyewe hajazikwa hata na kajumba peke yake kama alivyozaliwa!!
 
Mkuu Tuko yale mabilioni ya Uswiss ndivyo mafisadi waliyapata kwa kupitia mikataba ya siri. Mafisadi wanaenda Uswiss kufungua bank accounts ambazo hawaweki hata senti moja. Wanapoingia mikataba hii ya kitapeli ambayo haina maslahi kwa Watanzania hutoa number za bank accounts zao kwa hao "investors" wakawawekee kwenye bank accounts zao "bakshishi" yao kwa kukubali kusaini mkataba ambao umempa mwekezaji faida kubwa sana huku nchi imeambulia kitu kidogo sana. Hivi ndivyo hao mafisadi walivyoweza kuaccumulate hayo mabilioni ya Uswiss ($579 million).

Sasa mikataba kama hii ambapo Serikali hii dhalimu inaamua kuifanya siri tutegemee kweli hawa wachukuaji waweke hadharani details za mikataba hii huku wakijua fika kwamba wao wamenufaika kwa kiwango kikubwa kuliko Tanzania!? Inashangaza sana kusema kweli.

Sometimes nawashangaa viongozi wa umma wanao measure public interests against individual investors interests.
Huwezi ukasema eti kwa kuwa mwekezaji anataka secrecy due to business backgrounds iwanyime wananchi haki yao ya kufahamu jinsi raslimali zao zinavyotumika kama alivyosema Baregu.
Haya maneno ya kejeli ya Werema ni mwendelezo wa ulimbukeni wa baadhi ya viongozi wanaodhani kuwa wamemilikishwa hii nchi na kuwa wananchi hawana maana mbele ya hao wawekezaji.
Hao viongozi watambue kuwa kuna siku watatazama nyuma walivyoiharibu hii nchi kwa tamaa ya fedha na madaraka alafu roho iwaume sana... sure
 
Last edited by a moderator:
Hata malaika hataweza kubadili kitu ikiwa ataongoza chini ya mfumo uliopo. Tatizo liko kwenye system. Kinachotakiwa ni kuuondoa kabisa na hapo ndipo penye kazi, kwa sababu wananchi wengi bado wamefungwa fahamu zao. Ni kama kumpa panadol mgonjwa wa cancer badala ya kutibu ugonjwa unamuondolea maumivu tu kwa muda mchache na cancer inaendelea kummaliza.

mkuu hakuna haja ya kukata tamaa , tuendelee na jitihada za kuelimisha wananchi , tuking'oa hawa tu tumeokoa nchi .
 
Hii Serikali inachekesha sana, sasa jukumu la kuweka wazi mikataba kati ya Serikali na wachukuaji (wenyewe wanawaita wawekezaji) sasa wameachiwa wachukuaji!!! Kwa mfano mkataba kati ya Serikali na Statoil toka Norway wa kuchimba gas ambapo Tanzania itapoteza $55 billion kutokana na utapeli uliofanywa na hao Statoil halafu hao hao Statoil ndio waweke details za mkataba huo hadharani na kutwambia Watanzania angalieni huu mkataba nchi yenu itakosa $55 billion kutokana na kuwepo kwa corrupt officials in your government ambao hawakujali maslahi ya nchi bali maslahi yao binafsi!!! Kweli hawa mafisi na mapanya hata woga hawana.

Asante bwana BAK kunikumbuka.

BTT; Haitakaa hata siku moja serikali ya Tanzania na nchi zote za ulimwengu wa tatu waka-practise kitu kinaitwa Transparency na Accountability. Mkataba imefichwa hadi ikaja kugundulika na still waziri mwenye dhamana yupo ofisini anakula bata. Watu kila siku wanasafiri ila hata siku moja sijaona official signing ya huu mkataba wa serikali na statoil.

Serikali ili sign mikataba 17 na serikali ya china ila hadi leo haijulikani ni mikataba gani na inahusu nini.

Halafu leo serikali inataka hao statoil waweke mikataba wazi ambako wanajua wazi hakuna sheria inayowabana hao wawekezaji.

Tanzania hakuna kionozi hata mmoja. Wote wala rushwa.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Sometimes nawashangaa viongozi wa umma wanao measure public interests against individual investors interests.
Huwezi ukasema eti kwa kuwa mwekezaji anataka secrecy due to business backgrounds iwanyime wananchi haki yao ya kufahamu jinsi raslimali zao zinavyotumika kama alivyosema Baregu.
Haya maneno ya kejeli ya Werema ni mwendelezo wa ulimbukeni wa baadhi ya viongozi wanaodhani kuwa wamemilikishwa hii nchi na kuwa wananchi hawana maana mbele ya hao wawekezaji.
Hao viongozi watambue kuwa kuna siku watatazama nyuma walivyoiharibu hii nchi kwa tamaa ya fedha na madaraka alafu roho iwaume sana... sure

Hapo nchi itakuwa imebaki uozo tu, hakutakuwa na cha maana cha kufanya, labda utalii ndo ututoe kimasomaso.

Na hao wala rushwa wakuu wanaiba halafu wanakufa kesho kutwa kwa kiharusi, hakuna cha maana watakachofanyia hizo hela.

Mwisho wa ubaya, ubaya tu
 
Mbona tunawaona wanaenda bila nyumba wala senti tano!! ni ulimbukeni!! Nyerere mwenyewe hajazikwa hata na kajumba peke yake kama alivyozaliwa!!

Hizo hela zinaozea kwenye akaunt mtu akishakufa
 
Nitashangaa kuona mwekezaji akiweka wazi Mkataba unaomfaidisha yeye wakati alijua kuwa italeta matatizo kwake na Serikali aliyoingia nayo Mkataba huo.

Ikiwa AG Anakubali kuwa Mikataba hiyo haipaswi kuwa siri basi yeye (Serikali) anapaswa kutupa, na pia ahakikishe kuwa mikataba yote ya kibiashara au wawekezeaki wanayoingia haina kipengele cha usiri.
 
IMF hits at ’long-term’ govt deals with private investors

SEBASTIAN MRINDOKO
Dar es Salaam
THIS DAY
January 25th, 2008

THE International Monetary Fund (IMF) has advised the government to rethink the long-term contracts entered with foreign investor companies, citing questionable deals like the infamous 20-year IPTL power generation agreement.

The IMF senior Resident Representative to Tanzania, David Robinson, also yesterday cautioned the government to stop taking the seemingly-lucrative offers made by foreign private investors at face value, saying such deals usually come with strings attached.

He was speaking at an IMF seminar for non-governmental organisations in Dar es Salaam.

On existing long-term contracts now costing the government heavily, Robinson mentioned energy sector agreements like the Independent Power Tanzania Limited (IPTL) and the Songas gas-to-electricity deals as key examples.

He said the government had agreed to sign such lengthy pacts of 20 years or more without duly considering the consequences to the country’s future economic growth during all these years as the world economy itself undergoes regular periods of drastic change.

’’The government should not enter into such long-term contracts. Most of them have hidden agendas that have far-reaching consequences to the country as a whole�like what has happened to TANESCO with IPTL,’’ he said.

The IMF country representative advised the authorities to adopt clearly-defined, short-term contracts ranging from between five and 10 years, while constantly looking at the economic impact of the clauses in the agreements as time wore on.

According to Robinson, investors have a habit of sweet-talking governments with very huge offers at the negotiation table, showing billions of dollars in returns that appear quite beneficial to the country.

He said despite the rosy pictures painted of possible revenue projections and benefits of a given project, thorough, independent and intelligible studies should be conducted by government to verify the figures presented by investors, before reaching a decision to sign any contract.

Robinson advised government officials involved in contract negotiations with investors to visit other countries that have managed to enter into beneficial contracts with the same companies, so as to learn from their experiences.

He said the Tanzanian Government should always measure the ’’costs to the nation’’ of each individual project before signing such contracts.

He noted the increasing evidence of much-hyped foreign direct investment projects that promise billions of dollars in returns to the government, but ultimately end up being burdens to the whole nation.

He stressed that contracts signed under emergency crisis situations, such as national power shortages due to drought and the like, should definitely not be long-term agreements lasting for up to 25 years - as indicated in some of the existing deals.

’’Although Tanzania is greatly in need of public-private partnership for the country’s economic growth, it should remain keen to offers brought by various investors because not all are healthy to the economy,’’ he said.

Likewise, the IMF’s assistant director and mission chief for Tanzania (African department), Roger Nord, said the government requires experts and specialists to make intelligible studies of the various contract offers from foreign investors, before signing them.

’’This is serious when referring to the country�s long-term economic plans, because in the short-term such deals will be seen as a grace to national economic growth, but in the long run they will turn out to be a disgrace,’’ he said.

On the general state of the country’s economy, Nord said the government has to improve the existing business environment by easing the regulatory burden and reducing infrastructure bottlenecks, particularly the financial viability of the Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO).

He said infrastructure and power supply were among key sectors in any economy which attract more investment, but again urged the government to be careful and avoid making the mistake of signing more bad contracts.

Echoing Robinson’s remarks, Nord asserted that behind many of the glossy project proposals, there were usually hidden traps that local authorities must be keen to avoid at all times.
 
Hii Serikali inachekesha sana, sasa jukumu la kuweka wazi mikataba kati ya Serikali na wachukuaji (wenyewe wanawaita wawekezaji) sasa wameachiwa wachukuaji!!! Kwa mfano mkataba kati ya Serikali na Statoil toka Norway wa kuchimba gas ambapo Tanzania itapoteza $55 billion kutokana na utapeli uliofanywa na hao Statoil halafu hao hao Statoil ndio waweke details za mkataba huo hadharani na kutwambia Watanzania angalieni huu mkataba nchi yenu itakosa $55 billion kutokana na kuwepo kwa corrupt officials in your government ambao hawakujali maslahi ya nchi bali maslahi yao binafsi!!! Kweli hawa mafisi na mapanya hata woga hawana.

Mkuu BAK, hii nchi inahaitaji kiongozi mwendawazimu ilikuirudisha kwenye mstari. Hawa mafisi wa CCM wameitafuna nchi hadi imebaki mifupa na bado wanazidi kupasua hata mifupa ili kupoteza ushahidi wa ulafi wao. Hivi ni lini hawa VULTURES wa CCM wataacha kutafuna mali za nchi hii? Kila nikitafakari namna tutakavyotoka hapa CCM ilipotufikisha kichwa huniuma sana. Ndugu wananchi, chondechonde amkeni tukawatoe hawa panya kwenye kihenge mwaka 2015. Vinginevyo, tutazidi kulia hadi Yesu atakaporudi.

fisi.jpg CCM wataiua nchi.jpg magamba mlevi.jpg

magamba panya road.jpg
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu tpaul nchi yetu inahitaji mabadiliko makubwa sana ya uongozi ili kuondoa hili ombwe kubwa la kuwa na viongozi ambao uwezo wao wa kuongoza nchi ni SIFURI na pia hawajali kabisa maslahi ya nchi bali wanachojali maslahi yao wenyewe. Naamini mabadiliko haya makubwa ya uongozi kamwe hayawezi kupatikana ndani ya chama cha wahuni.

Mkuu BAK, hii nchi inahaitaji kiongozi mwendawazimu ilikuirudisha kwenye mstari. Hawa mafisi wa CCM wameitafuna nchi hadi imebaki mifupa na bado wanazidi kupasua hata mifupa ili kupoteza ushahidi wa ulafi wao. Hivi ni lini hawa VULTURES wa CCM wataacha kutafuna mali za nchi hii? Kila nikitafakari namna tutakavyotoka hapa CCM ilipotufikisha kichwa huniuma sana. Ndugu wananchi, chondechonde amkeni tukawatoe hawa panya kwenye kihenge mwaka 2015. Vinginevyo, tutazidi kulia hadi Yesu atakaporudi.

View attachment 191009 View attachment 191010 View attachment 191011

View attachment 191012
 
Last edited by a moderator:
Contracts: Govt, Bunge lock horns
FILIKUNJOMBE.jpg

Parliamentary Public Accounts Committee deputy chairman Deo Filikunjombe speaks during one of the House team's briefings. PHOTO | FILE
By Alex Bitekeye,The Citizen Reporter
Posted Friday, October 31 2014 at 09:53
In Summary

  • A House team wants mining contracts, but the government says that won't be possible for now

Dar es Salaam. The Ministry of Energy and Minerals has directed the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) not to handover to the Parliamentary Public Accounts Committee (PAC) the Production Sharing Agreements (PSAs) as requested by the latter, pending investors' approval. On the other hand, TPDC indicated in the letter submitted yesterday that it needed more time before submitting the contracts because they are huge and that it would take sometime to photocopy them.
This was revealed yesterday by PAC's deputy chairman Deo Filikunjombe, who told reporters that PAC had received a letter from TPDC which says that they have notified investors, requesting their approval before submitting them to the House team.

Earlier, it was noted that the audit of the PSAs was done by TPDC and handed over to the minister, Prof Sospeter Muhongo, who until now has the report.
On Monday PAC chairman Zitto Kabwe ordered that the report should be brought to the Committee by Tuesday's end of working hours.
"Yes, we ordered them to submit the audit report of the PAS. Today, we have received a letter saying that they have been directed by the minister to seek the go-ahead from investors," said Mr Filikunjombe.

According to him, the Act which established the Parliamentary Accounts Committee provided that the committees are privileged to request any documents apart from those which the president has identified to be secret and which are mainly security documents.

"Now we are wondering as to why we have been told this concerning the PAS's report. We are waiting till the end of today's (yesterday) working hours for their response," said Mr Filikunjombe.

In September 2012, the Committee ordered a re-audit of the 26 contracts, something which it did and submitted the reports to the minister who is in-charge of the docket, whereby they were ordered to detail what they had done on the seven PSA's.

"Furthermore, you should give reasons on the headway they have made in auditing the remaining 19 PSA's," directed Mr Zitto Kabwe, who yesterday afternoon wrote on his Facebook page that PAC has started a parliamentary process against the TPDC for rejecting to submit the PSAs.
 
Huyu ana matatizo sana, kasoma lakini ubabe wa kijinga na kutokufikiria kwa haraka kunamfanya asiweze tumia elimu yake kwa manufaa ya kazi yake na nchi yetu..
 
Eti huyu ndiye muadilifu!!! Sijui hata kama Kikwete anaijua maana ya neno muadilifu au ndio katika muendelezo wa unafiki wake kwa walipa kodi.
 
''Who is fooling who'' business as usual Maccm fooling the Wadanganyikaz.

Sijawahi kusikiliza hoja na utetezi wa hawa jamaa hata mara moja nisijiulize maswali mengi na ya msingi kuhusu utashi wao na Utanzania wao. ''Who is fooling who for whose interest?''

Kwa kuwa ndio wapo madarakani, na njia ambao tutaweza walao kuibadili kwa kiasi hii hali ni KUJIANDIKISHA kwa wingi na tupige kura kwa wingi against them na TUZILINDE.

Many thanks Mkuu BAK

Mkuu unafikiri hatujiandikishi basi . Tunajiandikisha lkn kama ulivyoona uchaguzi wa serikali za mitaa unafika unakuta jina lako lilishapiga kura hebu niambie bado wa kulaumiwa mwananchi kweli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Eti huyu ndiye muadilifu!!! Sijui hata kama Kikwete anaijua maana ya neno muadilifu au ndio katika muendelezo wa unafiki wake kwa walipa kodi.
Mkuu maana ya uadilifu inatofautiana kati ya mtu na mtu usichukulie maana ile ya kwenye kamusi kwa hiyo rahisi hakukosea jamani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom