Rais Samia Suluhu anaendelea kuupiga mwingi sekta ya elimu alianzisha mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa 8000 nchi nzima vyenye thamani ya Tsh Bilioni 160 sasa madarasa yamekamilika kwa asilimia 95 na kupelekea wanafunzi wote kuanza masomo kwa pamoja.
Wanafunzi wanaotarajia kujiunga na kidato cha kwanza kuanzia 9 January 2023 ni jumla ya wanafunzi 1,073,941 (wavulana 514,846 na wasichana 559,095)
Lakini pia tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani amefanikiwa kujenga madarasa zaidi ya elfu 20 nchi nzima ndio maana wanafunzi wote wataanza masomo kwa wakati mmoja na kufutwa kwa second selectio pia wazazi wamenufaika na ujenzi huu wa madarasa kwasababu hawakutozwa chochote ukilinganisha na hapo awali.
Rais Samia Suluhu anaendelea kuboresha sekta ya elimu kwa kupita kuboresha mazingira ya kusomea pia kuajiri walimu wa kutosha na kujali maslahi ya walimu .