Second selection results for 2011/2012

mwambene

Member
Jul 16, 2011
5
0
ndugu zangu angalie profile zenu muangalie ktk kipengele cha selection result ni kama matokeo tayari kwani mie nimeandikiwa 'SORRY,YOU ARE NOT SELECTED' nimemuuliza rafiki yangu Arusha kaniambia kuwa yeye ameishatumiwa matokeo yake kwa njia ya EMAIL na ameishapata chuo sasa sijui wengine lini au sisi tena tusubili 3rd application?
 
mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,790
4,621
ndugu zangu angalie profile zenu muangalie ktk kipengele cha selection result ni kama matokeo tayari kwani mie nimeandikiwa 'SORRY,YOU ARE NOT SELECTED' nimemuuliza rafiki yangu Arusha kaniambia kuwa yeye ameishatumiwa matokeo yake kwa njia ya EMAIL na ameishapata chuo sasa sijui wengine lini au sisi tena tusubili 3rd application?
hapo kwenye red umejibiwa nni na unatuuliza nni???
 
Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,219
1,251
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
kuna 3rd round of application tena?
Inaonesha ipo, ukiangalia kwenye website yao
http://cas.tcu.go.tz said:
Tanzania Commission for Universities (TCU) in collaboration with the National Council for Technical Education (NACTE) and higher education institutions hereby informs prospective applicants for academic year 2011/2012 that the 2nd selection is now closed. The system will be opened for the 3rd round applications in the near future.
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,019
1,762
Sioni sababu ya kuwa na 3rd round of applications wkt vijana wananyimwa mkopo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom