uwezekano upo coz nafasi zitakuwa nying kutokana na weng waliochaguliwa mwanzo wameenda private mfano feza,st.methew,marian,egles na shule nyingine za private zinazochukua wanafunzi vichwa licha ya hao kuna wengne wame pangiwa UDOM na wengne hawajaenda wanasubiria vyuo mfano afya na kadhalika xo ndo maana walisema ni C3 na kuhendelea ila uwe umebalance comb bila kujali daraja alilopata mtainiwa