Bado hawajatoa majina bana
Afu we jamaa mbona unakatisha tamaa jamaa zako?Nyie ndo akina Tomaso! lakini ukweli ni kwamba wametoa second round na wenzako tumeshapata. Mpaka wananitumia Admission letter sidhani kama Hawako serious. Kikubwa endeleeni kusubiri nadhani wanaendelea kutoa. Tembelea akaunti yako Mara kwa mara
Mbn yang haikubali? Hayo usemayo ni ya kweli?Jaribuni kulogin tena,mimi nimeingia leo this time na nakutana na Congratulation and Print Admission Letter and Joining Instruction.Ni baada ya kuwa toka juzi iliandika Username Blocked.Hivyo ni kweli wameshafanyia kazi second round
Kwa hiyo na yako tayari?jamani suasis imetema tayari ila mbona awasemi umechaguliwa course gani wakuu
broAfu we jamaa mbona unakatisha tamaa jamaa zako?
Imekubali kufunguka kwako, na imekuonesha kuwa umechaguliwa mkuu?jamani suasis imetema tayari ila mbona awasemi umechaguliwa course gani wakuu
Ndiyo barua ambayo Dogo amepata kutoka SUA.Nimepakua leo hii na imeandikwa leo hiii tarehe 15/10/2017
hata mimi toka juzi nilkuwa naambiwa blocked ila leo asubuhi nimeingia tu nimekutana na congratulation you have been selectedImekubali kufunguka kwako, na imekuonesha kuwa umechaguliwa mkuu?
Mbona hamtumi, hata screenshots? Maana mpaka now tunaojaribu tunaambiwa blocked.
ee tayari hila sijajua course gani vipi weweKwa hiyo na yako tayari?
Hongera mkuu.hata mimi toka juzi nilkuwa naambiwa blocked ila leo asubuhi nimeingia tu nimekutana na congratulation you have been selected