Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,174
- 6,338
Acha uwongo, ile online system ya sokoine unv haiupdate wala kubadilika ikogo vilevile hamn kitu inaweza kuinform.
Dah, mkuu alisema uangalie kwenye account yako! Yawezekana wameachia kwenye a/c za wanafunzi tu ila sio pdf kwenye web ya chuoAcha uwongo, ile online system ya sokoine unv haiupdate wala kubadilika ikogo vilevile hamn kitu inaweza kuinform.
Ndo kitu namwambia, kuwa akaunti hazibadiliki iko vilevile kama mwanzo.Dah, mkuu alisema uangalie kwenye account yako! Yawezekana wameachia kwenye a/c za wanafunzi tu ila sio pdf kwenye web ya chuo
www.sua.ac.tz ila hamna kitu.Mwenye link msaada
Umeangalia wapi? Ama kwa njia ipi mkuu?Ni kweli wametoa nashukuru mungu nimechaguliwa
We somea kwanza. Mengine yatajisort yenyewe baadaye. So far, so good kadri wataanzania wengi wanavyojihusisha na kutumia teknolojia ya mawasiliano kwa njia ya internet, kunaongeza wiko wa soko la ajira kwa fani yako...jaman wadau naomben advice nmechagliwa chuo cha NIT bachelor degree of information technology vp inalipa
Hata mie naona nimee kuwa BLOCKED sasa sijui ndio tumepigwa chini au ndio wanapakia dudeNimejaribu kuingia kwenye ac yangu naambiwa ime be blocked so sielewi tatizo nini wakuu
au ndo kutemwa kwenyewwe hawataki tuwasumbue tena..Kuhusu swala la kuwa blocked sijui ila ni kweli second round wameachia