Second Round: SUA wameshaachia, ingia kwenye akaunt yako.

Second Round: SUA wameshaachia, ingia kwenye akaunt yako.

Wadau hii kitu inaukweli huenda walioandikiwa user name is blocked hawajapata nafasi ya kujiunga na masomo kwa chuo cha SUA.
 
[emoji23][emoji23] wengine tunakula block wengine wanachaguliwa
 
Kweli ase eti, username blocked...they can't be serious. Mwenye dakika za voda awapigie kwa namba yao ile awaulize then uje hapa na mrejesho. Ama nini wale walokuta ujumbe tofauti yani wakuchaguliwa jana, wapite tena kwa akaunti walog in tena tuonee...
 
Hawawezi kublock hivihivi, bila kutoa majina. Kwo hilo ni tatizo lipo kwa watu wote wenye akaunti SUASIS. So kuweni wapole wakuu
 
Back
Top Bottom