Second Round: SUA wameshaachia, ingia kwenye akaunt yako.

Second Round: SUA wameshaachia, ingia kwenye akaunt yako.

Siyo kweli, bado kuna maandishi yao mekundu

Basi labda wanaendelea kuapload but ukweli ndio huo nimeshatumiwa joining instruction na admmision letter
 
Kumbe members wengi bado wanafunzi aisee

Nilijua wengi ni wazazi wako kitaa wakijishughulisha na maisha ya kila siku.

Kasomeni kwa bidii huku kitaa hakufai wadogo zangu
 
jaman wadau naomben advice nmechagliwa chuo cha NIT bachelor degree of information technology vp inalipa
 
jaman wadau naomben advice nmechagliwa chuo cha NIT bachelor degree of information technology vp inalipa
Inalipa ila ukiamua kufanya kazi maana IT ina uwanja mpana kila siku technology inakuwa kubwa sasa ukijuwa kucheza na akili na kufaham mambo mengi hutojutia. Ila ukisema vya darasani tu vinatosha bora achana nayo
 
Back
Top Bottom