Second Round Application TCU

Hapana, mimi nashangaa kuwa mnatusakama tunaoenda ST. JOE Je kwenye vyuo vya afya vilivyobaki, sisi wenye ndoto ya MD tuchague kipi?

Sasa ndugu yangu kama college ina mapungufu tusiseme,Eti kwa sababu unakipenda?after all sijazungumzia st.joseph yote,nimesemea campus ya arusha na mpaka dakika hii kina mgogoro na wanafunzi wake.

Mimi nakifahamu sana chuo cha st.joseph i think kuliko wewe..campus ya Luguruni kipo vizuri sanaaa na songea japo kuna mapungufu ya kihuduma..na mtu anapo comment humu anajaribu kuwasaidia wengine kuelewa ili msiingie mkenge..
 

Hiyo ya Arusha inafahamika mzeee. Binafsi mimi nilikuwa KIU, nikaacha nikareapply nikakosa. Kwenye 2nd selection katika list ile ningechagua wapi?
 
Hiyo ya Arusha inafahamika mzeee. Binafsi mimi nilikuwa KIU, nikaacha nikareapply nikakosa. Kwenye 2nd selection katika list ile ningechagua wapi?

Sasa hapo kazi ni kwako kuangalia yafuatayo kwenye kozi hii:

1.Inatolewa kwenye college gani?

2.Ada yake ni 5,700,000/ bodi watakulipia labda 2,000,000 kwa mwaka familia yako inauwezo wa kulipa 3,000,000/ kwa mwaka?

3.umefanya uchunguzi wa elimu inayotolewa chuoni hapo?

Ukishapata majibu hayo nakushauri kasome..goodluck
 

Bodi ya mikopo mwaka jana Medicine tulipewa Tution Fee 3.1M huku pesa ya msosi ikiwa 7500pday. Mwaka huu HESLB pesa ya msosi imepanda mpka 8500 kwa wote, hatujajua kuhusu Ada. Penye nia pana Njia Broo...
 
Nimeangali mahali hii kozi kumbe haitolewi campus ya arusha sio?

Ndio hiki chuo ni kipya, kipo Boko, Dar es salaam.

Then jua hili mpaka sasa
Habari zilizofika muda si punde

Kwenye Second Selection Vyuo vya Afya vilivyoorodheshwa kuwa na nafasi

1. KIU
2. IMTU
3. SJCHS
4. KCMC

Vyuo hivyo kwenye Medicine na Phamarcy Vimeshajaa na sasa havipo tena kwenye List. Kimebaki KCMC kwa ajili ya Nursing huku wale waliosoma PCB wakishindwa kupata Nursing ya KCMC ambayo inawalenga wale waliosoma PCB

Poleni Ndugu Zangu
 
Jee Campus Ya Dar Iko vipi Wadau Kwa Civil Engnrng
 
Na mm nasupport st joseph sio chuo ni genge la wahuni kutoka india wamekuja kupiga pesa kwa watu wa Tz hawana elimu pale hata kama kinaanza mm nina watu pale campus mpya badooo sanaaa....ila kama hutak nenda utajionea na KIU pia hvo vyuo ni uozoo mtupu vyote sasa ukibisha wakati ww husomi hapo wakati tuliosoma hapo tukaacha tunaelewaaaa
 
ww siujiulizeee swali kwann hvyo vyuo had sasa havijapata watu wakati watu waliofaulu ni weng hivyo vyuo ni vibovu sanaa mm nimesoma KIU na nimeacha matatzo kibaoooo mtajutaaaa ila nendaaa maaana mnaweza sema tunawabania nendeni kwann watu wasiviseme vyuo vingine kama muhas cuhas kcmc au kairuki....jiulize halafu huyo mtu anakuja anatikwa na povuuuu anasema watu malimbukeniii pole sanaa ukwel ndio huo kama huamini apply utajua huko mbele
 
jaman mimi Kupitia NACTE nimeona katika coz 5, coz 4 nimeona CAPACITY ni 0 na coz 1 capacity 6 kwa hiyo sijaelewa anaefahamu naomba ufafanuzi.Na je kwa siye wa NACTE lini wanatoa re-application??? MSAADA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…