Second Press : Leo moshi moto unafuka, Tujiandae

Wandugu

Kama alivyosema, leo moshi unafuka. Tujiandae kwa press kubwa kuwahi kutokea chini ya ardhi ya Tanzania

Nakushauri urekodi, tupatie kideo, live press haitaishi ushavamiwa.

Kila la kheri
Hiyo press itazuiwa haraka na wale nguchilo
 
Wandugu

Kama alivyosema, leo moshi unafuka. Tujiandae kwa press kubwa kuwahi kutokea chini ya ardhi ya Tanzania

Nakushauri urekodi, tupatie kideo, live press haitaishi ushavamiwa.

Kila la kheri
watamkamata, achukue tahadhali kubwa sana.
 
Iwe tu,wamemchokonoa vya kutosha.Aliahidi press mbili kwa wiki,kwa hali ilivyo apige mbili kwa siku,hakuna cha kupoteza.
 
Avuke mpaka kwanza akafanyie press nje ya nchi
 
Wandugu

Kama alivyosema, leo moshi unafuka. Tujiandae kwa press kubwa kuwahi kutokea chini ya ardhi ya Tanzania

Nakushauri urekodi, tupatie kideo, live press haitaishi ushavamiwa.

Kila la kheri
Lazima wamzingire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…