Wakuu me nawashauri mpite nssf hq, mm nlipgiwa cm nkapewa no. leo nimepita benjamini mkapa tower out of curiousty nkasema ngoja npite nssf kuconfirm no. nkapewa no. nyingne tofaut na ile nliyopewa mwanzo waliponipigia cm
hv makao makuu yapo ubungo au posta benjamini mkapa na majina yamebandikwa shm gani msaada kwa aliyepita na tufahamishane maana me nlifanya ile ya kwanza naona sioni dalili za kuitwa.
Mimi naamini hawajaita wote. Kuna frend nilikutana nae that day na hawajamwita tena this second time. So ukisema wameita tena wote naona kama sio kweli.