Hata mimi nilipigiwa jana, ila nikatumiwa na sms, ingawa namba ilionipigia haikufanana na ilionitumia sms zote zilinipa exam number zinazofanana. Bado usiku nikapata tena official sms iliotumwa kwa namba ya ofis ila haikuwa na serial number. Cha kushangaza kwenye interview ya kwanza number yangu ilikuwa kwenye elf 2 na kitu, na sa hv imekuwa kwenye elf 3 na kitu, ina maana wasahiliwa wameongezeka. Then kinachonishangaza ni kufanya written interview kwa mara ya pili ila what ninaamin kila jambo jema hupangwa na Mungu ngoja tuhudhurie tuone mambo yataendaje.