Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
hawapo serious hao watu, dogo nae anapiga position hiyo hiyo Operations Officer lakini kaambiwa ni oral interview na kapewa serial number walimpgia simu.supuyamawe
Mi sijapewa serial no.pia nimeambiwa second written int.pia it might depend on position applied..mi operation officer ..
Labda kuna position wao wanafanya oral..itafahamika.!
Na wewe ulifanya interview ya kwanza Nssf?!
Mungu wangu tra chini, nssf chini huu mwaka jaman
Mdogo wangu kapigiwa kaambiwa anaenda kufanya oral interview ifm saa tatu, amepewa na serial number.
Je, inamaana kuna ambao watafanya written ya pili na ambao watafanya oral interview? ambao mmeitwa kwenye hiyo second written, mmepewa serial number? number yake yenyewe ni elfu moja na kitu inamaan kutakuwa na watu wengi tena this time. Kila la kheri, mkafanikiwe.
cc: momo05 kalikumutima duet calisy Planner tony montana
Operations Officer, umepewa serial number.Mdogo wako aliapply position gani ?
Operations Officer, umepewa serial number.
Mwingine katumiwa hii " Dear Applicant, you are invited for a second written interview to take place at IFM in Dar es Salaam on Saturday 10/01/2015 at 9:00am"
supuyamawe
Mi sijapewa serial no.pia nimeambiwa second written int.pia it might depend on position applied..mi operation officer ..
Labda kuna position wao wanafanya oral..itafahamika.!
Hata mimi nimepigiwa jioni hii jmos ifm saa tatu asb kwa 2nd written interview
Congrants
wamekupa serial number?Itakua wanaendelea kupiga,mi pia nimepigiwa leo